LIGI mbalimbali Duniani kote zimerejea na Jumamosi ya leo, kuna maokoto mengi ndani ya Meridianbet. Suka mkeka wako leo na uanze kutengeneza mkwanja wa maana.
Tukianza na EPL leo mapema kabisa Liverpool watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Ipswich Town ambao wametoka kupanda daraja msimu huu. Jogoo amepata kocha mpya sasa Arne Slot ambaye amekuwa na pre season nzuri sana. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda Liver kwa ODDS 1.31 kwa 7.84. Je Ipswich anaweza kumzuia Slot na vijana wake kushinda leo?. Jisajili hapa.
Wakati ikifika saa 11:00 jioni Arsenal ambao walimaliza nafasi ya pili watakuwa katika dimba la Emirates kukipiga dhidi ya Wolves ambao msimu uliopita walimaliza nafasi ya 14 kwenye ligi. Arteta na vijana wake wanahitaji ushindi leo wakipewa ODDS 1.17 kwa 14.7. The Gunners walishinda mechi zote msimu uliopita. Je leo hii Mbwa Mwitu atalipa kisasi?. Suka jamvi hapa.
Jumamosi ya kutajirika na Meridianbet ndio hii, Liverpool, Everton, Monaco, Inter wote wapo tayari kukupa mkwanja leo. Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Vilevile piga mpunga mechi ya Everton dhidi ya Brighton &Hove Albion katika dimba la Goodison Park. Timu hizi msimu uliopita walipokutana, mechi zote mbili walitoa sare ya kufungana moja moja. Huku Meridianbet wao wakiweka ODDS 2.65 kwa 2.65 mechi hii. Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Jisajili sasa.
Furahia utamu wa kubashiri na mechi ya West Ham vs Aston Villa ambao utapigwa majira ya saa 1:30 usiku. Villa chini ya Unai walimaliza nafasi ya 4 msimu uliopita huku Wagonga Nyundo wa London wao wakimaliza nafasi ya 9. Je Julen Lopetegui ambaye ana wachezaji wapya kama Todibo, Wan Bissaka, Fullkrug na wengine watafanya nini mbele ya kikosi cha Unai?. 2.42 na 2.69 ndio ODDS za mechi hii. Beti na Meridianbet sasa.
Ukiachana na ligi hiyo, pia leo hii SERIE A kutakuwa na michezo kadhaa ambapo saa 1:30 usiku bingwa mtetezi Inter Milano atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Genoa AFC ambao walishika nafasi ya 5. Inzaghi na vijana wake wamependelewa kuondoka na ushindi leo kwa ODDS 1.53 kwa 6.07. Je Genoa atalipa kisasi baada ya mechi ya mwisho kupoteza. Tengeneza jamvi hapa.
Muda huo huo, Parma Calcio ambaye akapanda daraja atakuwa mwenyeji wa Fiorentina ambaye alimaliza ndani ya nafasi 10 bora kwenye msimamo wa ligi. Takwimu zinasema kuwa mechi 4 za mwisho ambazo timu hizi zimekutana wametoa sare zote. Je leo nani kuondoka mbabe?. Mechi hii imepewa ODDS 3.67 kwa 2.05, ikumbukwe kuwa De Gea yupo Fiorentina.
Mechi ya usiku Italia leo ni hii ambayo itapigwa majira ya saa 3:45 kati ya mwenyeji AC Milan dhidi ya Torino katika dimba la San Siro. Milan chini ya kocha mpya Paulo Fonseca wanahitaji kuanza vizuri kwa ushindi. Je wataambulia nini mbele ya Torino leo?. Suka mkeka wako sasa.
LALIGA nayo kitawaka vilivyo leo saa mbili usiku CA Osasuna atapepetana dhidi ya CD Leganes ambaye amepanda daraja msimu huu. Mechi hiyo itapigwa katika dimba la El Sadar huku timu hiyo mwenyeji ikimaliza nafasi ya 11 msimu uliopita. 1.90 na 4.41 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa sasa.
Wakati vijana wa Hans Flick FC Barcelona wao wataanzia ugenini mechi yao ya kwanza ya ligi dhidi ya Valencia. Timu mwenyeji kushinda mechi hii amepewa ODDS 4.80 kwa 1.69. Barca yenye Lamine Yamal, Dani Olmo, Lewandowski itashinda leo?. Tenegenza jamvi hapa.
Ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 ambayo imeanza jana, leo hii itaendelea kwa michezo kadhaa Stade Reims atakuwa mwenyeji wa Lille OSC, huku mechi ya mwisho walipokutana, mwenyeji alipoteza. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda mgeni akiwa na ODDS 2.43 kwa 2.84. Beti na Meridianbet.
Nao Stade Brest 29 wataumana dhidi ya Olympique Marseille ambao hawakuwa na msimu mzuri wakimaliza nafasi ya 8, wakati mwenyeji akimaliza wa 3. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000, ingia na ubashiri sasa.
Saa 4 usiku AS Monaco atamkaribisha AS Saint-Etienne ambaye amerudi kwenye ligi kuu baada ya kushuka. Monaco wanapendelewa kuondoka na ushindi wakiwa na ODDS 1.42 kwa 6.66 kwa mgeni. Je beti yako unaiweka wapi kwenye hizi timu mbili?. Jisajili sasa.
No comments:
Post a Comment