HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 21, 2024

MKUU WA WILAYA YA ILEJE MKOANI SONGWE ,FARIDA MGOMI AMEWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM

 

 


Mkuu wa wilaya ya Ileje mkoani Songwe Mhe.Farida Mgomi amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM katika kikao cha Halmashauri kuu ya CCM ya Wilaya ya Ileje.

Taarifa hiyo imepokelewa na wajumbe

Hapo ni taarifa ya fedha za serikali zilizopokelewa kutekekeza miradi, lkn pia makusanyo ya mapato ya ndani na mapato kutoka mamlaka ya mapato Tanzania, utekelezaji wa miradi hiyo ikuwemo barabara Maji Nishati ya umeme, kilimo, maendeleo ya jamii, afya elimu n.k

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad