HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 10, 2024

MANCHESTER UNITED VS MANCHESTER CITY KINAPIGWA LEO NGAO YA HISANI


KIPUTE kikali kinapigwa leo katika mchezo wa Ngao ya hisani kati ya Manchester United dhidi ya Manchester City ambao utakwenda kupigwa pale jijini London katika dimba la Wembley.

Mchezo wa Ngao ya hisani kikawaida unakutanisha mabingwa wa kombe la ligi kuu pamoja na bingwa wa kombe la Fa, Ambapo Manchester City walitwaa ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza huku Manchester United walitwaa ubingwa wa kom,be la Fa.

Mchezo huu unatarajiwa wa kukata na shoka licha ya vilabu vyote viwili kukosa baadhi ya wachezaji wake muhimu, Kwani Man City itawakosa wachezaji wake kama Rodri, Kylie Walker na Phil Foden Man United wao watamkosa Luke Shaw, Leny Yoro, pamoja na mshambuliaji wao Rasmus Hojlund.

Bashiri michezo mbalimbali ambayo imepewa ODDS BOMBA pale Meridianbet wikiendi hii Bila kusahau kucheza michezo ya Kasino uibuke mshinde wa Mamilioni

Manchester Derby leo imefanikiwa kupewa Odds nzuri pale Meridianbet kwani Man United wamepewa Odds bomba halikadhalika Man City, Hii inakupa fursa wewe mteja wa kushinda maokoto ukiweka jamvi lako kupitia mchezo huu.

Ikumbukwe mchezo wa mwisho wa Ngao ya hisani vilabu hivo vilipokutana ilikua mwaka 2011, Ambapo Man United ilifanikiwa kushinda kwa mabao matatu kwa moja hivo swali kubwa ni je City watakubali kuendeleza uteja mbele ya Man United?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad