NDUGU mteja karibu utusue na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet ambapo leo hii kuna mechi kibao za kufuzu ligi ya mabingwa ambazo unaweza kubashiri na kujishindia pesa weka dau lako sasa.
Saa mbili usiku Fenerbahce kutoka kule Uturuki atakiwasha dhidi ya Lille ya kule Ufaransa ambapo nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu akipewa mwenyeji akiwa na ODDS 1.81 kwa 3.92. Mechi ya kwanza walipokutana, Mwenyeji alipoteza kwa mabao 2-1. Je leo hii anaweza kulipa kisasi?. Beti mechi hii.
Mechi nyingine itakuwa ni hii ya FC Twente dhidi ya FC Salzburg huku kila timu leo ikihitaji ushindi kwa hali na mali ili iweze kusonga mbele. Mchezo huu utapigwa katika dimba la Grolsch Veste ambapo Meridianbet wanampendelea mwenyeji kushinda mechi hii kwa ODDS 2.42 na 2.60. Ikumbukwe kuwa mgeni ana faida ya goli mbili kwa moja. Je ni Mholanzi au Austria kusonga mbele. Jisajili hapa.
Jumanne ya Leo bashiri mechi za kufuzu ligi ya Mabingwa zinazoendelea ndani ya Meridianbet uibuke kuwa Milionea leo. Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Pia unaweza kubeti mechi nyingine ya mkwanja leo Bodoe/Glimt vs Jagiellonia Bialystok ya kule Poland mchezo ambao utapigwa katika dimba la Aspmyra huku mechi ya kwanza kukutana, mgeni alipoteza. Bodoe kutoka Norway ana nafasi ya kuondoka na pointi tatu leo akipewa ODDS 1.43 kwa 5.88. Je beti yako wewe unaiweka wapi kati ya mechi hizi mbili?. Suka jamvi hapa.
Nao APOEL Nikosia baada ya kupoteza mchezo wa kwanza dhidi ya SK Slovan Bratislava kwa mabao 2-0, watakuwa nyumbani kutaka kupindua meza kibabe. Mgeni kushinda amepewa ODDS 3.57 kwa 2.01, huku mechi hii pia ikiwa na machaguo zaidi ya 1000 pale kwa Mabingwa wa ubashiri Tanzania. Je ni timu kutoka Cyprus au Slovakia kushinda leo?. Jisajili sasa.
Saa 2:30 usiku mechi hizi za kufuzu zitaendelea PAOK FC ataumana dhidi ya Malmo FC ya kule Sweeden. Mechi ya mkondo wa kwanza timu hizi zilitoshana nguvu kwa kutoa sare ya 2-2. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kutoka Ugiriki kwa ODDS 1.83 kwa 4.01. Je leo hii nani anaweza kusonga mbele?. Tengeneza mkeka hapa.
Vilevile Ferencvaros ya Hungary atakipiga dhidi ya FC Midtjylland ya kule Denmark ambao walishinda mchezo wa kwanza kwa mabao 2-0. Mechi hii imepewa ODDS 1.95 kwa 3.57. Je mwenyeji anaweza kulipa kisasi leo na kusonga mbele?. Beti na Meridianbet sasa.
Baada ya kutoa sare mechi iiliyopita, leo hii Sparta Prague atakuwa ugenini kwenye mechi ya marudiano dhidi ya FCSB ya Romania. Meridianbet wametoa ODDS KUBWA mechi hii yaani 3.38 kwa 2.11. Bashiri sasa.
Pia Union St. Gilloise atakuwa uso kwa uso dhidi ya Slavia Prague ya Czech Republic ambao mechi ya kwanza waliondoka na ushindi mnono kabisa wa mabao 3-1. Mwenyeji kutoka kule Ubelgiji anahitaji kupindua meza hii leo kwa ODDS 2.10 na 3.23. Je Slavia anaweza kupoteza leo?. Jisajili hapa.
Majira ya saa 3:45 usiku Glasgow Rangers watapepetana dhidi ya FC Dynamo Kyiv ya Ukraine. Meridianbet wanampendelea mwenyeji kushinda leo baada ya mechi ya kwanza kutoa sare. 1.97 kwa 3.43 ndio ODDS za mechi hii. Tandika mkeka hapa.
No comments:
Post a Comment