WIKIENDI ndo hii hapa imefika sasa mabingwa wa michezo ya kubashiri kmapuni ya Meridianbet wako tayari kuhakikisha wikiendi yako inaanza vizuri Ijumaa ya leo, Kupitia Odds bomba ambazo wamezitoa katika michezo itakayopigwa leo.
Ligi mbalimbali zitaendelea kuchezwa barani ulaya zikiikaribisha wikiendi kuanzia pale kwenye leigi kuu ya Ufaransa Ligue 1, Ligi kuu ya Italia maarufu kama Serie,Ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga, Ligi kuu ya Uholanzi, pamoja na ligi kuu pale nchini Ureno.
Ligi kuu nchini Italia Serie A leo itapigwa michezo miwili lakini mchezo mmoja mkali kabisa utapigwa pale katika dimba la Sa Siro ambapo Inter Milan itaikaribisha klabu ya Atalanta, Venezia nao wakishuka dimbani kumenyana na klabu ya Torino.
Ligi kuu ya Ufaransa leo itashuhudia klabu ya Olympique Lyon ikienda kutafuta ushindi wake wa kwanza katika ligi hiyo dhidi ya Strasbourg, Kwani klabu hiyo haijafanikiwa kushinda michezo yake miwili ya awali katika ligi hiyo.
Klabu ya Union Berlin itashuka dimbani leo katika ligi kuu ya Ujerumani kumenyana na klabu ya St. Pauli, Vilabu vyote vitahitaji kutafuta ushindi katika michezo yao ya pili kwnai hawakufanikiwa kushinda michezo yao ya kwanza ya ligi.
Benfica leo watakua ugenini wakimenyana na klabu ya Moreirense katika ligi kuu ya soka nchini Ureno, Mchezo huu unatarajiwa kua na ushindani mkubwa kwani klabu ya Moreirense imekua ikiwasumbua klabu ya Benfica siku za hivi karibuni.
Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko mahala pengine, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.
No comments:
Post a Comment