HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 4, 2024

TUSUA MAPENE NA MECHI ZA COPA AMERICA LEO

 


MICHUANO ya COPA AMERICA kuendelea kupamba moto ambapo sasa ni hatua ya robo fainali, hivyo mteja wa Meridianbet usisubiri kupitwa na maokoto yanayotolewa hapa. Ingia hapa na usuke jamvi lako sasa.

Mechi ya kwanza ya Robo Fainali itakuwa ni hii ya wababe wa kombe la Dunia, Argentina dhidi ya Ecuador majira ya saa kumi usiku huku Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda Lionel Scalion na vijana wake kwa ODDS 1.42 na 8.62.

Mpaka kufikia hatua hii Argentina hajapoteza mechi yoyote wala kuruhusu boa ambapo mechi ya kwanza alikipiga dhidi ya Canada na akafanikiwa kushinda 2-0, mechi ya pili akakipiga dhidi ya Chile akaibuka na ushindi wa 1-0, na mechi ya mwisho kwenye kundi alipepetana na Peru akashinda tena 2-0 na kukusanya pointi 9.

Robo fainali ya COPA AMERICA leo kupigwa unashindwaje kupiga pesa sasa ukiwa na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet? Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Wakati kwa upande wa Ecuador chini ya kocha mkuu Felix Sanchez, wao mechi ya kwanza walimenyana dhidi ya Venezuela wakapoteza 2-1, mechi ya pili walicheza dhidi ya Jamaica wakashinda 3-1, na mechi ya mwisho walitoa sare ya bila kufungana dhidi ya Mexico na kufanikiwa kukusanya pointi 4.

Je leo hii huku kuna Lionel Messi, Lautaro, Parades, na kule kuna Caicedo, Pacho, Felix Torres na wengine kibao. Nani kuibeba timu yake na kusonga hatua ya Nusu fainali?. Beti hapa.

Mechi ya pili itakuwa ni hii ya Venezuela dhidi ya Canada ambayo mechi hii imepewa ODDS KUBWA na za kibabe ambazo ni 2.25 kwa 2.89 mechi ambayo itapigw akatika dimba la AT&T hapo kesho.

Hii ni safari ya Venezuela mpaka kufikia hapa ambapo mchezo wa kwanza alikipiga dhidi ya Ecuador na akashinda kwa mabao 2-1, mechi ya pili alichuana dhidi ya Mexico akashinda 1-0, na mechi ya mwisho alicheza dhidi ya Jamaica wakashinda 3-0 na kukusanya alama 9.

Huku kwa upande wa Canada wao walianza safari yao na Argentina na wakapoteza kwa 2-0, mechi ya pili akashinda 1-0 dhidi ya Peru na mchezo wa mwisho waliumana vikali dhidi ya Chile ambapo walitoshana nguvu, na kupata jumla ya pointi 4.

Canada wao wana wachezaji kama vile Alphonso Davies, Osario, Eustaquio, Moise Bambito na wengine huku kwa upande wa Venezuela wao wana Telasco Segovia, Eduard Bello, Yangel Herrera, Salomon, Rondon na wengine kibao. Je nani kuibuka na ushindi?. Suka mkeka hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad