HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 6, 2024

RITA YASHIRIKI MAONESHO YA SABASABA KWA MAFANIKIO

 



Afisa msajili.  Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) ,Mariam Ling'ande (kulia) wakiendelea na kazi ya kuwahudumia wananchi waliotembelea mbanda hilo katika maonesho ya kimataifa yanayo fanyika Sabasaba jijini Dar as Salaam.




Mafisa mbalimbali wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) wakiendelea na kazi ya kuwahudumia wananchi waliotembelea mbanda hilo katika maonesho ya kimataifa yanayo fanyika Sabasaba jijini Dar as Salaam.

Kazi ikiendelea 



Wananchi wakiwa kwenye  foleni  ya kwenda kujisajili ili kupata cheti cha  kuzaliwa kwenye banda la  wakala wa Usajili na Udhamini( RITA)  kwenye maonesho yanayoendelea ya 48 ya kimataifa  ya Biashara ya Dar es Salaam maarufu kwa Sabasaba jijini Dar es salaam jana.  

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad