HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 18, 2024

Rais Dkt. Samia ahutubia Wananchi wa Mlowo, Mbozi Mkoani Songwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mlowo Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma tarehe 18 Julai, 2024.





Baadhi ya Wananchi wa Mlowo Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe wakiwa kwenye shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 18 Julai, 2024.http://


Wananchi wa Mlowo wakiwa kwenye Mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika Mlowo, Mbozi Mkoani Songwe tarehe 18 Julai, 2024.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad