HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 5, 2024

MENEJIMENTI YA NBAA YATEMBELEA SABASABA

 

Mkurugenzi wa Huduma za Shirika kutoka NBAA CPA Kulwa Malendeja pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa APC Hotel & Conference Center CPA Wenceslaus W. Mkenganyi wakiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) walipotembelea banda la Bodi hiyo lililopo katika Jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Huduma za Shirika kutoka NBAA CPA Kulwa Malendeja akiasaini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) alipotembelea banda la Bodi hiyo lililopo katika Jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa APC Hotel & Conference Center CPA Wenceslaus W. Mkenganyi akiasaini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) alipotembelea banda la Bodi hiyo lililopo katika Jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Huduma za Shirika NBAA CPA Kulwa Malendeja akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA)alipotembelea banda la Bodi hiyo lililopo katika Jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad