HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 3, 2024

TUME YA USHINDANI (FCC)YASHIRIKI MAONESHO YA SABASABA KWA MAFANIKIO

 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma (FCC) Roberta Feruzi akitoa elimu kuhusu (FCC) inavyofanyakazi kwa vijana waliotembelea Banda la (FCC) katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai, 2024, ambapo vijana hao wamepongeza watoa huduma kwa umahiri wao katika kutoa elimu kwa umm.Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma (FCC) Roberta Feruzi akiendelea kuwaelimisha wanachi umuhimu wa (FCC)
(PICHA NA EMMANUEL MASSAKA WA MICHUZI TV)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad