HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 9, 2024

EURO na COPA AMERICA Kukujazia Kibubu Leo

 

NUSU Fainali ya EURO 2024 na COPA AMERICA zinatarajia kuanza leo hii huku mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania wakiwa tayari wamekuwekea machaguo uyapendayo. Ingia sasa na uanze kubashiri.

Spain atakiwasha dhidi ya France ambao hawapewi nafasi kubwa ya kushinda kutokana ma mwenendo wao tangu mashindano kuanza wakiwa wamefunga magoli matatu tuu, ambapo moja la penati na mengine ya kujifunga. Meridianbet wamempa Hispania ODDS 2.69 kushinda kwa 3.09.

Mechi hiyo itapigwa katika dimba la Allianz Arena, na safari ya vijana wa Luis de la Fuente mpaka kufika hapa ilianza kwa kushinda dhidi ya Croatia 3-0, mechi ya pili walishinda dhidi ya Italy kwa 1-0, na ya mwisho ilikuwa ni dhidi ya Albania napo wakashinda 1-0.

Nusu fainali ya EURO 2024 na COPA AMERICA leo kupigwa unashindwaje kupiga pesa sasa ukiwa na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet? Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Hivyo walifanikiwa kukusanya alama 9 na hatua ya 16 wakacheza dhidi ya Georgia na wakashinda 4-1, wakati hatua ya Robo Fainali walimenyana dhidi ya Ujerumani mwenyeji wa michuano hii wakashinda 2-1 baada ya muda wa nyongeza zile dakika 30.

Kwa upande wa France ambao wao ni wanafainali wa Kombe la Dunia, walianza na Austria kwa kushinda 1-0, wakaja kumenyana dhidi ya Uholanzi wakatoa sare ya bila kufungana, wakakiwasha dhidi ya Poland na kutoa sare na kukusanya pointi 5.

Hatua ya 16 bora walipangwa kucheza dhidi ya Ubelgiji na kufanikiwa kushinda 1-0 goli la kujifunga, na Robo fainali walicheza dhidi ya Ureno wakapita kwa mikwaju ya penati. Je nani kucheza Fainali Jumapili?. Ni bato ya Yamal, Morata, Rodri Nico Williams dhidi ya Mbappe, Dembele, Kante, Saliba na wengine wengi. Jisajili hapa.

Nusu fainali nyingine ni hapo kesho saa nne usiku ambapo Netherlands atachuana vikali na England ya Southgate. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 3.14 kwa 2.65.

Uholanzi alianza safari yake kwa kushinda dhidi ya Poland 2-1, akatoa sare ya 0-0 dhidi ya Ufaransa na akamaliza kwa kupoteza 3-2 dhidi ya Austria.

Hatua ya 16 alishinda dhidi ya Romania kwa mabao 3-0. Timu hiyo chini ya kocha mkuu Ronald Koeman hatua ya Robo Fainali walipangiwa dhidi ya Uturuki wakashinda 2-1. England walianza kwa kumfunga Serbia 1-0, na mechi ya pili wakatoa sare dhidi ya Denmark, wakamaliza na Slovenia kwa kutoa sare bila ya kufungana 0-0. Hatua ya 16 bora walipangwa kucheza dhidi ya Slovakia ambapo walishinda 2-1 baada ya dakika za nyongeza.

Vijana hao wa Southgate walipangiwa kucheza dhidi ya Uswizi hatua ya Robo Fainali ambapo walishinda kwa penati. Nani kusonga mbele hatua ya Nusu Fainali?. Je ni Harry Kane au Van Dijk?. Suka jamvi hapa.

COPA AMERICA mechi ya leo itakuwa kati ya Argentina dhidi ya Canada ambao hawapendelewi kushinda kwa ODDS 9.60 na 1.34. Msanii wa muziki nchini Marekani Drake yeye ameipa ushindi Canada akiweka dau la shilingi Milioni 800 za Kitanzania. Na wewe ndugu mteja wa Meridianbet unaweza ukabashiri mechi hii utamfuata Messi au Alphonso Davies?. Mara ya mwisho kukutana Canada alipoteza. Je atalipa kisasi?. Tengeneza jamvi hapa.

Mechi nyingine ni hii ya Uruguay dhidi ya Colombia ambapo anayepewa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii ni mgeni akiwa ni Colombia kwa ODDS 2.79 kwa 2.84. Mwenyeji ameshinda mechi zote za kwenye kundi na kukusanya pointi 9, wakati kwa mgeni naye kashinda mechi mbili na sare 7.

Uruguay hatua ya Robo fainali alipangiwa Brazil na akashinda kwa matuta baada ya kwenda sare dakika 90 za mchezo. Wakati kwa upande wa Colombia yeye alipangiwa na Panama na akashinda . Nani kuibuka mbabe leo?. Beti hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad