HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 13, 2024

Dkt. Samia atembelea Kituo cha Kupokea, Kupoza na kusambaza umeme wa Gridi ya Taifa cha Inyonga Mkoani Katavi

 

. Taswira ya Miundombinu pamoja na Kituo cha kupoza, kupokea na kusambaza umeme wa Gridi ya Taifa kilichopo Inyonga Mkoani Katavi tarehe 13 Julai, 2024


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa kuhusu Mitambo ya Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme wa Gridi ya Taifa kilichopo Inyonga Mkoani Katavi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga tarehe 13 Julai, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia anaendelea na Ziara yake ya Kikazi Mkoani humo ambapo atakagua na kufungua miradi mbalimbali ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme wa Gridi ya Taifa kilichopo Inyonga Mkoani Katavi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga tarehe 13 Julai, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia anaendelea na Ziara yake ya Kikazi Mkoani humo ambapo atakagua na kufungua miradi mbalimbali ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad