HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 20, 2024

Ukiwa na Meridianbet Ni Kula Pesa Tu

Alhamisi ya leo mechi za EURO zinazidi kuendelea huku kila timu ikihitaji pointi tatu muhimu kwenye mechi hizi za pili. Wewe unaihitaji kupiga pesa leo hivyo bashiri na meridianbet uibuke mshindi sasa.

Katika kundi C mapema kabisa Slovenia baada ya kutoa sare mchezo wake uliopita, leo hii ataumana dhidi ya Serbia ambao wlaipoteza mchezo wa kwanza. Lakini Meridianbet wao wamempa nafasi kubwa ya kushinda Serbia kwa ODDS 1.75 kwa 4.90. Mara ya mwisho timu hizi kukutana, ilikuwa mwaka 2022 na walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuibuka mbabe?. Beti mechi hii.

Michuano ya EURO inaendelea kushika hatamu, hivyo suka jamvi lako hapa na ODDDS KUBWA. Pia unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Mechi nyingine ambayo itarindima leo kwenye EURO ni hii itakayopigwa majira ya saa moja usiku kati ya England dhidi ya Denmark katika dimba la Deutsche Bank Park huku mechi ya mwisho kukutana ikiwa ni kwenye EURO 2020 na South Gate na vijana wake walishinda. 

Uingereza anapendelewa zaidi kushinda mechi hii kwa kikosi bora ambacho anacho kama vile, Harry Kane, Foden, Jude Bellingham, Saka na wengine wengi, huku kwa upande wa Denmark wao wana wachezaji kama vile Hojberg, Christian Eriksen, Hojlund ambao wanahitaji ushindi leo. Je nani kushinda leo?. Jisajili sasa.

Siku ya leo itafungwa na mechi ya kibabe kabisa kati ya Spaindhidi ya Italy huku timu hizi zikianza vyema mechi zao za kwanza. Hispania chini ya Luis de la Fuente walimfumua mtu bila kuruhusu bao lolote wakati Spalletti na vijana wake walifanya “Come back”.

Huku kushoto kuna Yamal, Morata, Rodri, Nacho, Carvajal, wakati kwa upande wakulia kuna Federico Chiesa, Jorginho, Barella, Scamacca na wengine kibao. Je ni upande upi unaupa pesa yako wakupe pesa zaidi?. Bashiri mechi hii.

Hapo kesho kama kawaida mbungi litaendelea ambapo Slovakiabaada ya kumpasua mtu atakiwasha dhidi ya Ukraine ambao wamechapika mchezo wao uliopita. Meridianbet wamempa nafasi ya ushindi UK kwa ODDS 2.11 kwa 3.57.

Je Ukraine baada ya kuanza vibaya michuano hii, kwenye huu mchezo wa pili wanaweza kufanya maajabu yoyote?. Tengeneza jamvi lako sasa na Meridianbet.

Huku kwa upande wa Poland atakuwa kibaruani dhidi ya Austria huku timu zote zikiwa zimetoka kupoteza mechi zao za kwanza, hivyo hapa kila timu inataka ushindi wa hali na mali. Mechi hii imepewa ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 ndani ya Meridianbet. Takwimu zinaonyesha kuwa 2019 walipokutana hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Suka jamvi lako hapa.

Usiku wa saa nne sasa kutakuwa na moto wa hatari kati yaNetherland dhidi ya France ambao walipata ushindi mwembamba mechi yao ya kwanza, vilevile bado taarifa hazijatoka kama nahodha wao Kylian Mbappe atakuwepo au baada ya kuumia mechi iliyopita.

Zinakutana timu mbili ambazo zote zina wachezaji wazuri kwa Uholanzi kuna Memphis Depay, Gakpo, Xavi Simons, Dumfries, Ake na wengine wengi wakati kwa Les Blues wao wana Rabiot, Mbappe, Griezmann, Kante, Hernandez na wengine kibao. Meridianbet wanampa asilimia 1000 Ufaransa kushinda kwa ODDS 2.25 kwa 3.14. Wewe unampa nani?. Jisajili hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad