HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 7, 2024

Sloti ya Maajabu, Fortune Farm Kasino Mtandaoni

 

* “Fortune Farm ni mchezo wa sloti ya kasino ya mtandaoni wenye nguzo tano zilizopangwa katika safu mitatu naina njia 10 za malipo zisizobadilika. Ili kushinda, unahitaji kuunganisha alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo.”

MERIDIANBET Kasino ya Mtandaoni inakukaribisha kwenye Shamba la Furaha! Furahia wakati mzuri ambao haujawahi kuwa nao kabla. Kutana na mkulima mwenye furaha na wanyama wake na upate bonasi za kasino za kustaajabisha! Ni wakati wa kuanza safari isiyo na mipaka!

Fortune Farm ni mchezo mzuri wa kasino ya Mtandaoni kutoka Expanse Studios! unapocheza mchezo huu utafurahia bonasi ya kurudia mzunguko yenye nguvu inayowezeshwa na jokeri! Kipengele cha kipekee cha mchezo huu ni GURUDUMU LA BAHATI lenye viwango vitatu ambavyo vinaweza kukuletea ushindi mara 1,000 zaidi!

Ushindi wa Fortune Farm!
Mchanganyiko wote wa ushindi huhesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia koloni ya kwanza upande wa kushoto.

Jinsi ya Kucheza Sloti ya Fortune Farm!

Anza kwa kubofya kitufe chenye nembo ya dola kufungua menyu ambapo unaweza kuweka kiwango cha dau unalotaka katima mfumo wa sarafu. Thamani ya jumla ya dau kwa kila mzunguko utaiona kwenye sehemu ya Total Bet.

Ukibofya kitufe cha Max Bet utakuwa umeweka dau la juu zaidi kwa kila mzunguko wa mchezo wa kasino ya mtandaoni moja kwa moja.

Pia sloti hii ina kipengele cha Autoplay unachoweza kukiendesha wakati wowote upendao. Kupitia kipengele hiki unaweza kuweka hadi mizunguko 250.

Ikiwa unapenda mchezo wenye kasi zaidi, washa Turbo Spin Mode kwa kubofya kitufe chenye picha ya radi.

Alama za Ushindi Kwenye Sloti ya Fortune Farm
Michezo mingi ya kasino ya mtandaoni huwa inafanana alama za ushindi, isipokuwa tu huwa na tofauti ndogo. Mchezo huu alama za ushindi zimegawanywa katika makundi mawili; malipo madogo na zile zenye malipo makubwa.

Kundi la kwanza linajumuisha alama za karata za kawaida: J, Q, K na A. Zimegawanywa katika makundi mawili, K na A zikiwa na malipo kidogo zaidi kuliko nyingine.

Alama zote nyingine zinawakilishwa na wanyama wa shamba. Kwenye shamba hili utamwona mbwa mwitu mzuri anayejumuika na wanyama wengine.

Kuna alama ya mbwa anayecheka ambapo utasikia sauti yake nyuma ya mchezo. Ukiunganisha alama tano za mbwa huyu, unashinda mara 50 zaidi ya dau lako.

Kondoo anayebeba kengele ya dhahabu ndiye alama yenye thamani kubwa zaidi kati ya alama za kawaida. Ukifanikiwa kuunganisha alama tano za kondoo huyu kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 100 zaidi ya dau kwa sarafu.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad