HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 5, 2024

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MKUTANO WA BIASHARA JIJINI SEOUL, JAMHURI YA KOREARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Biashara katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Biashara katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa wakati wa Mkutano wa Biashara uliofanyika katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad