HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 11, 2024

LEO TANZANIA YUPO DIMBANI BETI NA MERIDIANBET

 

MECHI nyingi za kufuzu Kombe la Dunia kwa Afrika zinaendelea leo hii huku meridianbet wakiwa tayari wamekuwekea ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Tengeneza jamvi lako sasa.

Mapema kabisa leo Kenya atakipiga dhidi ya Ivory Coast ambao ni mabingwa wa Afcon 2023 huku nafasi ya kushinda mechi hii akipewa mgeni kwa ODDS 1.31 kwa 8.23. Tofauti ya pointi kati yao ni 5 pekee. Ivory Coast yenye wachezaji wenye uzoefu kama vile Nicolas Pepe, Sebastian Haller, Kessie na wengine wanahitaji ushindi ili kujiimarisha kwenye nafasi ya kwanza waliyopo kwasasa. Beti mechi hii.

Bashiri na Meridianbet mechi za kufuzu kombe la Dunia timu za Afrika. Pia kuna michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Vilevile Madagascar watakuwa kibaruani dhidi ya Mali ya Djigi Diara ambao walikiwasha sana kwenye michuano ya Afcon. Mali wanaonekana kupendelewa kuondoka na ushindi ndani ya Meridianbet kwani wamepewa ODDS 1.60 kwa 5.88. Mwenyeji yupo nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi lao huku mgeni akiwa nafasi ya 4. Je nani kuondoka kifua mbele?. Jisajili hapa.

Saa moja usiku Tanzania atakuwa ugenini leo kumenyana dhidi ya Zambia ambapo Taifa Stars inahitaji ushindi wa hali na mali kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu Kombe la Dunia. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Chipolopolo kwa ODDS 1.67 kwa 5.88. Ikumbukwe kuwa timu hizi zote zina pointi 3, hivyo leo hii kila timu inataka ushindi. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa 2021 na Stars ilipoteza. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi?. Bashiri mechi hii.

Huku kwa upande wa South Africa wao watakipiga dhidi ya Zimbabwe ambao walipoteza mechi yao iliyopita. Bafana bafana wao wallitoa sare mchezo uliopita. Tofauti ya pointi kati yao ni mbili pekee huku Meridianbet wakitoa ODDS 1.38 kwa mwenyeji na 7.05 kwa mgeni. Je wewe beti yako unaiweka wapi kwenye mechi hii?. Ingia na ubeti sasa.

Katika kundi C Lesotho ataumana dhidi ya Rwanda huku timu hizi zikiwa zimefatana kwenye msimamo. Mwenyeji anashika nafasi ya 2 na mgeni anashika nafasi ya 3 huku timu hizo zikiwa zimepishana pointi moja pekee. 2.94 na 2.45 ndio ODDS za mechi hii leo kule kwa mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet.

Pia saa nne usiku tutashuhudia mtanange mkubwa kati ya Gabon dhidi ya Gambia ambao wanashika nafasi ya tano kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yupo nafasi ya pili huku anayepewa nafasi kubwa ya kushinda ni mwenyeji akiwa na ODDS 1.91 kwa 4.11 na tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni tatu. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni 2020 ambapo mgeni alishinda. Je leo hii mwenyeji kulipa kisasi?. Bashiri hapa.

Baada ya kushinda mechi iliyopita, leo hii Morocco atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Congo Republic ambaye alitoa sare. Congo anashika nafasi ya pili kwenye msimamo na Simba wa Atlas akiwa ni wa kwanza. Meridianbet wamempigia chapuo kubwa la kushinda mgeni kwa ODDS 1.14 kwa 15.68. Nani ni nani leo?. Tengeneza jamvi hapa.

Mechi ya kibabe kabisa leo hii ni Angola dhidi ya Cameroon ambayo inatarajiwa kuwa ni ya kuvutia kabisa hata ndani ya Meridianbet ina ODDS KUBWA kabisa yaani 2.84 kwa 2.60. Cameroon ni wa kwanza na Angola ni wa tatu, tofauti ya pointi kati yao ni 2. Nani unamdhamini akupe ushindi leo?. Jisajili sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad