HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 3, 2024

KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR ATEMBELEA BANDA LA NBAA

 

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Khamis Abdulla Saida akisaini kitabu katika Banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) alipotembelea banda la Bodi hiyo kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu kwa Mwaka 2024 yaliyofanyika mkoani Tanga.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Khamis Abdulla Said akipata maelezo kutoka kwa Afisa Uhusiano na Mawasiliano kutoka NBAA, Magreth Kageya kuhusu kazi zinazofanywa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) wakati wa Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu kwa Mwaka 2024 yaliyofanyika mkoani Tanga.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad