HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 8, 2024

JUMAMOSI NI ZAMU YAKO KUFURAHIA MKWANJA NA MERIDIANBET


WIKIENDI ndiyo hii imefika jaman na wewe kama mteja wa meridianbet hauna haja ya kujiuliza utaanzaje Jumamosi yako. Suka jamvi lako hapa na ubeti mechi zako za uhakika usitoke kapa leo.

Darubini yangu inaanza kumulika mechi ya Hungary ambaye atachuana dhidi ya Israel majira ya saa moja usiku. Timu zote zimetoka kupoteza mechi zao za kirafiki zilizopita, hivyo leo hii kila timu inataka ushindi. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Hungary akiwa na ODDS 1.50 kwa 5.29. Je wewe beti yako unampa nani leo?. Beti sasa.

Muda huo huo Sweeden atamenyana dhidi ya Serbia ambaye hapendelewi kuondoka na ushindi. Huku kuna Alexander Isak, Kulusevski, Lindelof na upande wa kushoto kuna Dusan Tadic, Gacinovic, Luka Jovic na wengine wengi. Je ni upande gani utakaokupa pesa. 2.40 na 2.84 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili sasa.

Mechi za Mataifa mbalimbali kuchezwa leo, ingia meridianbet na ubashiri sasa, lakini kuna michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Mechi nyingine ya pesa ni hii hapa inyaowakutanisha kati ya Moldova dhidi ya Cyprus mechi ambayo itapigwa kule Ukraine. Mara ya mwisho timu hizi kukutana ilikuwa ni 2011 ambapo mgeni alishinda. Je leo hii mwenyeji atalipa kisasi kwa ODDS ya 2.13 kwa 3.33?. Bashiri na Meridianbet.

Switzerland atakuwa uso kwa uso dhidi ya Austria mechi ambayo itapigwa kule Italia huku nafasi ya kuondoka kifua mbele akipewa Uswizi kwa ODDS 2.18 kwa 3.09. Timu hizi zote zinajiandaa na mechi za EURO ambazo zinaanza Ijumaa ijayo hivyo kila timu inahitaji ushindi kujiweka sawa. Wote wametoka kupata ushindi mechi zao zilizopita. Tengeneza mkeka wako leo na Meridianbet.

Vilevile Portugal atakiwasha dhidi ya Croatia saa 1:45 usiku ambapo timu zote zimetoka kushinda mechi zao zilizopita za kirafiki. Mchezo huo utachezwa kule Ujreumani huku takwimu zikionyesha kuwa timu hizi mara ya mwisho kukutana ilikuwa 2020 na Ureno ilishinda. Huku kuna Ronaldo na kule kuna Kovacic. Nani ni nani leo?. Bei mechi hii yenye machaguo zaidi ya 1000 meridianbet.

Ndugu mteja unaweza kupiga pesa mechi hii ya Denmark dhidi ya Norway ambayo ina ODDS za kibabe kwelikweli. Yani nazungumzia 2.16 kwa 3.09 pale Meridianbet. Timu zote zina viwango vizuri na watashiriki michuano ya EURO inayoanza Ijumaa ijayo. Unakosaje kupiga maokoto na mechi hii sasa ukizingatia “goal machine” Haaland atakuwepo. Bashiri hapa.

Mechi nyingine inayoonekana itakuwa ya upande mmoja itakuwa ni ya Spain dhidi ya Northen Ireland ambapo Meridianbet wameona kuwa mgeni kushinda mechi hii ni ngumu sana kwani wamempa ODDS ya 16.66 kwa 1.08. Span ina vijana wengine sana wenye uwezo kama vile Pedri, Rodri, Yamal, Morata na wengine kibao ambao wanaweza kuamua lolote. Suka jamvi lako hapa.

Luxembourg atakuwa ugenini dhidi ya Belgium ambayo ni ina wachezaji wakubwa kabisa na wenye uzoefu. Pia ni moja ya timu ambayo ipo kwenye orodha ya kuwania kombe la EURO. Ubelgiji ina wachezaji kama De Bruyne, Doku, Trossard, Openda na wengine kibao. Je Luxembourg atafanya nini leo na ODDS yake ya 27.44?. Jisajili sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad