Gavana
wa Benki Kuu ya Tanzania Emmanuel Tutuba (katikati) akimsikiliza kwa
makini Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Access Afrika Oluseyi Kumapayi
wakati alipofanya ziara ya kikazi kwenye ofisi za BoT Jijini Dar es
Salaam hapo jana. Hivi karibuni, benki ya Access ilitangaza kukamilisha
utaratibu wa kuinunua African Banking Corporation (Tanzania) Limited
(“BancABC Tanzania” au “BancABC”), ikiwa ni hatua ya kimkakati ya
kuifanyaa Tanzania kuwa kiungo kwa biashara za ndani na nje ya Africa
hususani Africa Mashariki.. Kulia ni Naibu Gavana wa BoT Sauda Msemo. Gavana
wa Benki Kuu ya Tanzania Emmanuel Tutuba ( wa nne kulia), Afisa
Mtendaji Mkuu wa benki ya Access Afrika Oluseyi Kumapayi ( wa nne
kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa BancABC Tanzania Imani John
wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa BoT na BancABC mara
baada ya kufanya ziara ya kikazi kwenye ofisi za BoT hapo jana. Hivi
karibuni, benki ya Access ilitangaza kukamilisha utaratibu wa kuinunua
African Banking Corporation (Tanzania) Limited (“BancABC Tanzania” au
“BancABC”), ikiwa ni hatua ya kimkakati ya kuifanyaa Tanzania kuwa
kiungo kwa biashara za ndani na nje ya Africa hususani Africa Masharik Gavana
wa Benki Kuu Tanzania Emmanuel Tutuba akimkaribisha Afisa Mtendaji Mkuu
wa benki ya Access Afrika Oluseyi Kumapayi wakati alipofanya ziara ya
kazi Jijini Dar es Salaam hapo jana. Hivi karibuni, benki ya Access
ilitangaza kukamilisha utaratibu wa kuinunua African Banking Corporation
(Tanzania) Limited (“BancABC Tanzania” au “BancABC”), ikiwa ni hatua ya
kimkakati ya kuifanyaa Tanzania kuwa kiungo kwa biashara za ndani na
nje ya Africa hususani Africa Mashariki.
No comments:
Post a Comment