HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 20, 2024

WAKUU WA TAASISI ZA HAKI JINAI WAKUTANA NA TUME YA HAKI JINAI NCHINI, JIJINI DODOMA

  

TUME ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed Othman Chande mapema leo Mei 20, 2024 jijini Dodoma, imekutana kwa mazungumzo na Wakuu wa Taasisi za Haki Jinai akiwemo Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania, CGP Mzee Ramadhani Nyamka.
Wakuu wa Taasisi za Haki Jinai wakifuatilia mazungumzo katika kikao cha Tume ya Haki Jinai, Leo Mei 20, 2024 Jijini Dodoma. Pichani katikati ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania, CGP Mzee Ramadhani Nyamka. Kulia ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji Tanzania, CGI Anna Makakala. Kushoto ni Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camilius Wambura. Picha zote na Jeshi la Magereza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad