HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 29, 2024

PROFESA PALLANGYO ATEMBELEA MABANDA MBALIMBALI , MAADHIMISHO YA KITAIFA YA ELIMU

  

MAfisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa William Pallangyo  akipata maelezo katika Banda la Chuo Kikuu Huria Tanzania  (OUT) wakati alipotembelea Banda hilo kwenye  Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu ,Ubunifu na Ujuzi yanayoendelea katika Viwanja Vya Shule ya Popatlal Mjini Tanga.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa William Pallangyo  akipata maelezo kwa Afisa Uhusiano wa Chuo cha Usimamizi wa  Fedha (IFM)wakati alipotembelea Banda la IFM kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu ,Ubunifu na Ujuzi yanayoendelea katika Viwanja Vya Shule ya Popatlal Mjini Tanga.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa William Pallangyo  akipata maelezo katika Banda la Tume ya Ajira  wakati alipotembelea Banda hilo kwenye  Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu ,Ubunifu na Ujuzi yanayoendelea katika Viwanja Vya Shule ya Popatlal Mjini Tanga.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa William Pallangyo  akizungumza na  maelezo kwa Afisa Uhusiano wa Chuo cha Usimamizi wa  Fedha (IFM)wakati alipotembelea Banda la IFM kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu ,Ubunifu na Ujuzi yanayoendelea katika Viwanja Vya Shule ya Popatlal Mjini Tanga.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa William Pallangyo  akipokea diary na taarifa mbalimbali za Tume ya Ajira  wakati alipotembelea Banda hilo kwenye  Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu ,Ubunifu na Ujuzi yanayoendelea katika Viwanja Vya Shule ya Popatlal Mjini Tanga.

MAfisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa William Pallangyo  akiwa katika ya picha ya  pamoja na watumishi wa Chuo Kikuu Huria Tanzania  (OUT) wakati alipotembelea Banda hilo kwenye  Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu ,Ubunifu na Ujuzi yanayoendelea katika Viwanja Vya Shule ya Popatlal Mjini Tanga.

1 comment:

Post Bottom Ad