HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 9, 2024

PIGA PESA NA MECHI ZA EUROPA NA CONFERENCE

 

ALHAMISI ndio hii sasa mteja wa meridianbet ambapo leo hii una nafasi ya kupiga mkwanja wa maana ukibashiri mechi zako na meridianbet. Machaguo zaidi ya 1000 na ODDS KUBWA zipo hapa.

Mechi kali leo hii ni kati ya wenyeji Bayer Leverkusen dhidi ya AS Roma majira ya saa 4:00 usiku ambapo hii ni mechi ya Nusu Fainali ya pili ambapo timu zote zinahitaji kwenda Fainali.

Leverkusen chini ya Xabi Alonso haijapoteza mechi yoyote kwenye michuano yote msimu huu huku ikiwa ni timu pekee Ulaya ambayo inataka kufanya maajabu ndani ya msimu huu ambapo wameshachukua kombe la ligi hadi sasa.

Ukiachana na mechi hizo ndugu mteja kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Mechi ya kwanza kule Stadio Olimpico AS Roma walichapwa hivyo leo hii wanaingia uwanjani wakitaka kulipa kisasi huku wakiwa na mlima mrefu wa kupanda yaani magoli mawili. Meridinabet wamempa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS ya 1.50 kwa 5.88. Beti hapa.

Mechi nyingine ya maamuzi itakuwa ni ya Atalanta chini ya Gasperini dhidi ya Olympique Marseille ambapo mechi ya kwanza walitoshana nguvu hivyo leo ni kama wanaanza upya.

Atalanta wapo nafasi ya tano kwenye msimamo wa ligi huku wakifukuzia nafasi ya kucheza michuano ya Ulaya msimu ujao. Wakati kwa upande wa Marseille wao wapo nafasi ya tisa kwenye msimamo wa ligi.

Meridianbet wanampendelea Atalanta kuibuka na ushindi kwa ODDS ya 1.80 kwa 4.31. Wewe beti yako unaiweka wapi kwenye hizi mechi mbili. Pia mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri sasa.

Vilevile michuano za UROPA KONFERENSI kutakuwa na mchezo mmoja wa kukata na shoka yaani Aston Villa baada ya kupigika mechi ya kwanza akiwa nyumbani pale Villa Park atakuwa ugenini leo kumenyana dhidi ya Olympiacos kule Ugiriki. Je nani kutinga Fainali hii leo? Je Unai ataweza kupindua meza?. Jisajili hapa.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad