HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 17, 2024

Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Akizungumza Kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia


Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024 kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia uliofanyika Paris Nchini Ufaransa tarehe 14 Mei, 2024 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa Kinara na Mwenyekiti Mwenza katika mkutano huo wa Kimataifa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad