HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 12, 2024

LEO MKWANJA UPO MERIDIANBET LEO

 


SIKU ya leo ni nzuri sana kwa wewe mtumiaji wa Meridianbet ambapo una nafasi ya kupiga mkwanja wa maana endapo utabashiri mechi zako kijanja hapa. Ingia meridianbet na usuke mkeka wako sasa.

EPL leo kuna mechi kali hatari yaani ni bingwa mara nyingi wa Uingereza Manchester United ambaye atakuwa Old Trafford kukiwasha dhidi ya Arsenal ambaye anafukuzia ubingwa huo baada ya miaka mingi. Mechi ya kwanza The Gunners walishinda. Leo Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Arteta na vijana wake kwa ODDS 1.32 kwa 7.44. Beti hapa.

Ukiachana na mechi za ligi ndugu mteja kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

LALIGA nayo mambo ni moto sana ambapo saa 11:15 Atletico Madrid atakuwa mwenyeji wa RC Celta Vigo katika dimba la Civitas Metropolitano. Mechi ya mkondo wa kwanza kukutana, Simeone na vijana wake walishinda. Je leo hii nani kuibuka na ubabe huku mechi hii ikipewa ODDS 1.39 kwa 7.05. Suka mkeka wako hapa.

Huku saa 1:30 usiku Valencia atakiwasha dhidi ya Rayo Vallecano ambaye yupo nafasi ya 17 kwenye ligi wakati mwenyeji akiwa nafasi ya 9 hadi sasa. Mwenyeji amepewa ODDS 2.24 kwa 3.47. Je mgeni anaweza kulipa kulipa kisasi leo?. Jisajili hapa.

Na mechi ya mwisho kabisa Hispania leo hii itakuwa ni hii ya Real Betis dhidi ya vibonde wa ligi Almeria huku timu zote zikiwa zimetoka kushinda mechi zao zilizopita. Meridianbet wameweka ODDS KUBWA kwenye mechi hii yani 8.03 kwa 1.33. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Suka jamvi sasa.

Vilevile ligi kuu ya Italia SERIE A kutakuwa na mechi za kukata na shoka ambapo saa 10:00 jioni, Genoa atamualika kwake Sassuolo Calcio ambaye amepoteana sana msimu huu akiwa nafasi ya 19 kwenye ligi, huku mwenyeji akiwa wa 12. Tofauti ya pointi kati yao ni 14. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet. Beti sasa.

Nao Juventus chini ya Allegri watapepetana dhidi ya Salernitana ambao ni hohehahe kwenye ligi wakiwa ni washika mkia mpaka sasa. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Juve kwa ODDS 1.13 kwa 17.64. Nani kuibuka na ushindi leo?. Tengeneza jamvi lako la maana hapa.

Saa 3:45 usiku AS Roma atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Atalanta ya Gasperini ambao wapo fainali ya Europa. Timu hizi mbili zina pointi sawa kwenye ligi huku mechi ya kwanza waipokutana wlaitoshana nguvu. Anayependelewa kushinda mechi hii ni Atalanta kwa ODDS 1.90 kwa 3.82. Suka mkeka wako hapa.

Tukihama huko Italia na sasa tunatua kule Ujerumani ambapo mechi kadhaa kupigwa, saa 10:30 jioni SV Darmstadt 98 atakuwa mwenyeji wa TSG Hoffenheim ambapo mechi ya kwanza walitoa sare. Mwenyeji yupo nafasi ya 18 huku mgeni wake akiwa nafasi ya 8. Mechi hii imepewa ODDS 4.70 kwa 1.59. Jisajili sasa.

Mechi nyingine itakuwa ni kati ya Bayern Munich ambao wametoka kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya VFL Wolfsburg majira ya saa 12:30 jioni. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Thomas Tuchel na vijana wake kwa ODDS 1.37 kwa .86. Tengeneza mkeka wako sasa.

Na mechi ya mwisho itakuwa ni kati ya vijana wa Xabi Alonso Bayer Leverkusen ambao hawajapoteza mechi yoyote msimu huu wao watakiwasha dhidi ya VFL Bochum ambao wapo nafasi ya 14 kwenye ligi. Mwenyeji anataka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya kwanza. Je ataweza mbele ya Alonso?. Suka jamvi hapa.

Pia LIGUE 1 kule Ufaransa kuna pesa kibao, PSG atamulaika Toulouse nyumbani kwake ambapo timu hizi zimepishana pointi 30. Mechi ya kwanza walitoshana nguvu lakini tayari Enrique ameshachukua ubingwa w aligi. Mechi hii ina ODDS 1.37 kwa 6.86. Beti hapa.

Naye AS Monaco atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Montpellier huku timu zote zikiwa zimeshinda mechi zao zilizopita. Mwenyeji kushinda mechi hii ana ODDS 3.87 kwa 1.76. Je nani kuibuka mbabe? Ingia na ubashiri hapa.

Huku FC Nantes wao watakuwa na kibarua cha kuwakabili Lille ambao wapo nafasi ya 4 kwenye ligi. Meridianbet wamempa mwenyeji ODDS 4.01 kushinda mechi hii kwa 1.91 ambapo mechi ya kwanza mgeni alishinda. Je na leo atashinda?. Jisajili hapa.

Na mechi nyingine ya maokoto itakuwa ni kati ya Clermont Foot 63 dhidi ya Lyon ambao mwenyeji ni wa mwisho kwenye ligi na hapewi sana nafasi ya kushinda mechi hii akipewa ODDS 3.48 kwa 1.52. Bashiri mechi hii sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad