HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 9, 2024

LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO PANACHIMBIKA LEO

 

LIGI ya mabingwa barani ulaya inarejea usiku wa leo na michezo ya kibabe itakwenda kupigwa katika viwanja viwili vikubwa ambavyo ni Santiago Bernabeu na dimba la Emirates.

Real Madrid mabingwa mara nyingi zaidi wa michuano hiyo leo watawaalika mabingwa watetezi klabu ya Manchester City katika mchezo wa kwanza utakaopigwa katika dimba la Santiago Bernabeu, Huku Arsenal wao wakiwa pale Emirates leo wakiikaribisha klabu ya Bayern Munich kutoka nchini Ujerumani.

Real Madrid watakwenda kumenyana na klabu ya Manchester City wakiwa kwenye fomu nzuri kwelikweli, Kwani mpaka sasa wanaongoza ligi kuu nchini Hispania huku Man City nao wakiwa sio haba licha ya kuandamwa na majeraha ya hapa na pale.

Real Madrid wataingia kwenye mchezo huu kwanza kutafuta ushindi utakaowaeka katika mazingira mazuri ya kufuzu hatua ya nusu fainali, Lakini pia kulipa kisasi kwa kilichowakuta mbele ya Man City msimu ulimalizika ambapo walitupwa nje ya michuano hiyo kwa kipigi kikubwa cha mabao manne kwa bila.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa barani ulaya. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Mchezo mwingine utakua baina ya vinara wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya soka ya Arsenal ambapo watakipiga dhidi ya klabu ya Bayern Munich katika dimba lao la Emirates mchezo mwingine ambao unatarajiwa kua mkali na wenye ushindani mkubwa.

Ikumbukwe pia mchezo hautakua wakawaida kwani Arsenal nao watahitaji kufuta uteja wa muda mrefu ambao wamekua nao mbele ya klabu ya Fc Bayern Munich, Hivo mchezo wa leo pia ni wa kulipa kisasi kwa klabu hiyo kutoka Kaskazini mwa jiji la London.

Vilabu hivi vinakutana kipindi ambacho Bayern Munich wanaonekana hawako kwenye ubora mkubwa huku Arsenal wao wakiwa kwenye fomu ya maisha yao, Jambo ambalo linafanya mashabiki wengi wa soka kuamini unaweza kua wakati sahihi wa Arsenal kulipa kisasi cha mateso ya muda mrefu ambayo wamekua wakipitia mbele ya Bayern Munich.

Michezo yote ya leo inapatikana pale Meridianbet na imepewa ODDS KUBWA ambazo zinaweza kukufanya ukaibuka na mkwanja wa kutosha, cha kufanya ni wewe kutengeneza mkeka wako kupitia michezo hii ya kukata na shoka uweze kupiga mkwanja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad