HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 16, 2024

LEO NI LEO NANI KUTINGA NUSU FAINALI UEFA?

 


HATIMAYE Jumanne ya UEFA imefika ambapo leo hii michezo miwili ya UEFA hatua ya robo fainali mechi ya marudiano kupigwa kule Hispania na Ujerumani na meridianbet wanakwambia pesa ipo huku.

Mechi kali itakuwa ya mwenyeji Barcelona dhidi ya PSG ambapo mechi ya kwanza Xavi aliondoka na ushindi pale Parc des Princes mbele ya mashabiki wao na kocha wao Enrique. Barca ameshachukua Kombe hili la ligi ya Mabingwa mara tano huku Paris akiwa hajachukua kombe hili.

PSG mara ya mwisho aliingia fainali ya Kombe hili msimu wa 2019/2020 ambapo alipoteza mbele ya Bayern kwa bao moja kwa bila, huku Barcelona mara ya mwisho kucheza fainali ilikuwa 2015. Leo ni mechi ya kuamua nani kwenda Nusu Fainali na nani abaki. Je Mbappe anaweza kuivusha Paris kwenda hatua inayofuata?

Meridianbet wamempa mwenyeji nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.16 kwa 2.94. Je wewe beti yako unaiweka wapi kwenye hizi mechi mbili?. Je ni Luis Enrique au Xavi Alonso kutinga Nusu Fainali?. Jisajili hapa.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Mechi nyingine ambayo itakuwa na mpambano mkali ni hii hapa ambayo inawakutanisha kati ya Borussia Dortmund kutoka Ujerumani dhidi ya Atletico Madrid ambao wanatoka Hispania.

Dortmund ndiye ambaye atakuwa nyumbani leo hii, baada ya kupoteza mechi ya kwanza akiwa ugenini kwa mabao mawili kwa moja. Pia alishawahi kuchukua kombe hili huku Atletico akiwa hajawahi kuchukua ndoo hii.

Diego Simeone na vijana wake wanaingia uwanjani wakiwa na faida ya ushindi hivyo leo wanahitaji kucheza kwa akili sana kwani faida ya goli moja sio kubwa lolote linaweza kutokea. Lakini je naye Terzic atafanya nini pale Signal Iduna Park kuingia Nusu Fainali ya UEFA?

Mechi hii imepewa ODDS 2.16 kwa 3.14 kwa Atletico kushinda. Lakini pia hapa kuna machaguo zaidi ya 1000 ya kubashiri. Hivyo Suka mkeka wako hapa na ubeti.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad