HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 1, 2024

YANGA DHIDI YA AL AHLY NI KIVUMBI LEO

 

KIVUMBI leo !!!!!! ndio kauli unayoweza kusema kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika wa kundi D kati ya klabu ya Yanga ambao watakua ugenini kumenyana na klabu ya Al Ahly mchezo ambao umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet.

Mchezo huu utavuta hisia za watu wengi kwani kwanza utakua ni mchezo wa kiasi kwa klabu ya Yanga, Lakini pia ndio mchezo ambao utatoa taswira halisi ya kua ni nani anakwenda kukaa kileleni mwa kundi D.

Mchezo huu utatoa taswira halisi ya nani ataongoza kundi kwani mpaka sasa Ahly wako kileleni wakiwa na alama 9, Huku Yanga wao wakiwa nafasi ya pili na alama zao 8hivo wana nafasi ya kuongoza kundi kama watashinda mchezo wa leo..

Klabu ya Al Ahly wao watakua na faida kwani hata sare katika mchezo huu itawabakiza kileleni mwa msimamo wa kundi hilo, Kwani watafikisha alama 10 huku Yanga wao wakifikisha alama 9 hivo nafasi pekee ya Wananchi kuongoza kundi ni kushinda mchezo huu wa leo ambao ni wazi ni mgumu sana kwa upande wao.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Klabu ya Yanga wakifanikiwa kupata matokeo ya ushindi leo ugenini ni wazi watakua na alama 11 na kukwea kileleni mwa msimamo wa kundi hilo, Huku wakiwaacha Al Ahly wakibaki na alama zao 8 lakini wakati huo huo matokeo ya ushindi au sare kwa Al Ahly yatakua faida kwao kwani wataendelea kukaa kileleni mwa msimamo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad