HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 2, 2024

UNAANZAJE JUMAMOSI YAKO NA MERIDIANBET LEO?

 

MPENDWA mteja wa Meridianbet natumaini Jumamosi yako imeanza vizuri kabisa ikiwa ndio wikendi ya kwanza ya mwezi Machi ambapo meridianbet nao hawapo nyuma wakikuambia kuwa ODDS KUBWA na machaguo ya kibabe yako huku. Bashiri sasa.

Ligi pendwa Duniani EPL leo hii michezo ipo ya kutosha kuanzia mechi ya mwenyeji Brentford ambaye atakichapa dhidi ya Chelsea ya Pochettino ambayo ipo nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi hadi sasa. Mara ya mwisho kukutana, The Blues alipoteza akiwa nyumbani. Je leo hii akiwa ugenini na ODDS ya 2.13 kwa 3.14 anaweza kutoboa?. Beti hapa.

Utamu mwingine wa soka utakuwa pale Goodison Park ambapo Everton atakipiga dhidi ya West Ham United ambao wametoka kutoa dozi nzito mechi yao iliyopita. The Toffees wametoa sare mechi yao iliyopita, huku ndani ya mabingwa ODDS KUBWA meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 2.06 kwa 3.38. Jisajili na ubeti hapa.

Usiishie kubashiri tuu, cheza pia michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Huku katika dimba la Tottenham Hot Spurs, kutakuwa na mechi ya kibabe sana Tottenham Spurs baada ya kupigika mechi yao iliyopita leo hii watapepetana dhidi ya Crystal Palace ambao walishinda mchezo uliopita. 1.47 kwa 6.07 ndio ODDS za mechi hii. Beti sasa.

Liverpool ambao ndio vinara wa ligi watakuwa ugenini kusaka pointi za kuwafanya wazidi kukaa kileleni dhidi ya Nottingham Forest ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 5.68 kwa 1.50. Mara ya mwisho kukutana, Liver alishinda. Je mwenyeji anaweza kulipa kisasi leo?. Tengeneza mkeka wako hapa.

Kule LALIGA ndiko kwenye pesa sasa leo hii ambapo saa 10:00 jioni Sevilla atakipiga dhidi ya Real Sociedad huku mwenyeji akiwa nafasi za 15 na mgeni nafasi ya 7. Mara ya mwisho kukutana, Sociedad alishinda. Je leo hii kwa ODDS za 2.55 na 2.99 nani kuibuka mbabe?. Bashiri mechi hii.

Saa 2:30 usiku Getafe baada ya kupoteza mechi iliyopita, leo hii ataumana dhidi ya Las Palmas ambaye alitoa sare mechi yake iliyopita. Tofauti ya pointio kati yao ni mbili pekee. 1.98 kwa 4.21 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa na meridianbet.

Usiku wa leo mechi ya mwisho pale Hispania itakuwa ni kati za wenyeji Valencia ambao watamkaribisha Real Madrid ambaye ni kinara wa ligi. Ancellotti na vijana wake wamepewa ODDS 1.61 kwa 5.48. Je Carlo kuchukua pointi tatu ugenini leo?. Beti na meridianbet.

Ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1, baada ya kuendelea hapo jana, leo hii pia kuna mechi zitapigwa ambapo Stade Reims ambaye yupo nafasi ya 8 atakiwasha dhidi ya Lille OSC ambaye ni wa 5. Walivyokutana mara ya mwisho mwenyeji alishinda. Je leo hii mwenyeji akiwa na ODDS 2.79 kwa 2.50 anaweza kushinda.?

Lakini naye Olympique Marseille ambaye amekuwa hana wakati mzuri kwenye ligi, atakipiga dhidi ya Clermont Foot 63 ambaye ndiye kibonde wa ligi hadi sasa. Mgeni yupo nafasi ya 9 huku meridianbet wakimpa mwenyeji nafasi za kutoshinda mechi hii kwa ODDS 4.11 kwa 1.83. Ingia na ubashiri sasa.

Ligi ya kufungana sana nayo BUNDESLIGA Jumamosi ya leo itaendelea kama kawaida, FC Heidenheim atakichafua dhidi ya Eintracht Frankfurt huku timu zote zikiwa zilitoa sare micheoz yao iliyopita. Lakini walipokutana, Frankfurt alishinda. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet. Beti sasa.

Naye RB Leipzig baada ya kupoteza mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mgeni wa VFL Bochum ambaye alipoteza mechi yake iliyopita. 1.62 kwa 4.70 ndio ODDS za mechi hii. Unasubiri nini sasa kusuka jamvi lako na ubashiri na meridianbet?

Union Berlin atamkaribisha Borussia Dortmund ambaye yupo nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi huku mwenyeji akiwa nafasi ya 14 na mwendelezo mbaya wa matokeo. Mara za mwisho kuonana Dortmund alishinda. Mechi hii imepewa ODDS 3.33 kwa 2.09. Suka mkeka wako hapa.

Majira ya saa 2:30 usiku, VFL Wolfsburg atakiwasha dhidi ya VFB Stuttgart ambaye kushinda mechi hii amepewa ODDS 2.15 kwa 3.19. Mwenyeji ana mechi 8 hajashinda mechi yoyote hadi sasa yani akipoteza na sare tuu. Je leo hii anaweza kufurukuta mbele ya mgeni wake ambaye anafanya vizuri?. Tengeneza jamvi la uhakika hapa.

Kule Italia nako SERIE A kitawaka vibaya mno, saa 11:00 jioni Udinese Calcio atakiwasha dhidi ya US Salernitana ambaye ndiye kibonde wa ligi hadi sasa huku akipewa ODDS 5.68 kushinda mechi hii kwa 1.62. Mara ya mwisho kukutana hakuna ambaye alikuwa mbabe. Je leo hii nani kuchukua pointi tatu?. Weka mkeka wako hapa.

Huku kwa upande wa AC Monza atamualika AS Roma na timu zote zimetoka kutoa dozi kwenye mechi zao zilizopita. Mechi hiii ina ODDS 3.62 kwa 2.04. Bashiri sasa mechi hii na nyingine nyingi kule Italia.

Mechi ya mwisho kule Italia itakuwa ni kati ya Torino dhidi ya ACF Fiorentina majira ya saa 4:45 ambapo mwenyeji anapendelewa kushinda mechi hii kwa ODDS 2.50 kwa 2.99. Tofauti ya pointi kati yao ni 5. Bashiri kijanja sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad