HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 7, 2024

SUPER HELI KASINO MABONASI KAMA YOTE

MOJA kati ya mchezo bora kabisa wa kasino ya Mtandaoni niliowahi kuuona na kuucheza ni hiki chuma cha kuitwa Super Heli, popote ulipo nakushauri tu tembelea Meridianbet Kasino kujionea mwenyewe sitaki kusema sana ila utanishukuru baadae.

Sifa pekee ya mchezo huu ni kusafuri kwa muda mrefu bila ndege kuanguka, kwa wadau wa Aviator watakuwa wanaelewa nini maana ya ndege kupaa umbali mrefu ni kwamba unakuwa unakusanya odds nyingi ambapo zinakufanya kuwa na maokoto mengi Zaidi.

Vivyo hivyo kwenye mchezo wa Super Heli Kasino ya Mtandaoni unakupa nafasi kubwa Zaidi ya kushinda na kuwa tajiri, cha kwanza dau lake ni kuanzia Tsh 100/= lakini pesa hii ina maajabu kubwa ambayo huwezi kuamini imetajirisha wengi ambao wamechagua kucheza huu mchezo. Jisajili hapa kuwa moja kati ya washindi wa kila siku kwenye Super Heli.

Mchanganuo wa Zawadi na Ushindi.
Super Heli mchezo wa kasino mtandaoni kutoka kwa Expanse Studios. Katika mchezo huu, utapata bonasi za kasino kubwa. Kuna malipo ya pesa taslimu papo hapo.

Wachezaji bora wakati wa promosheni ya Super Heli watapokea zawadi zifuatazo kutoka Meridianbet:
Nafasi ya 1 - Samsung TV inchi 55.
Nafasi ya 2 - Samsung A24.
Nafasi ya 3 na ya 4 - TZS 200,000 beti za bure.
Nafasi ya 5-6 - TZS 100,000 beti za bure.
Nafasi ya 7-10 - TZS 50,000 beti za bure.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad