HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 1, 2024

Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi Akiwa Mikocheni Nyumbani Kwa Baba Yake

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa Mikocheni nyumbani kwa baba yake akiendelea kupokea mkono wa pole kutoka kwa Rais Mstaafu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kilichotokea jana Februari 29, 2024.







No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad