HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 21, 2024

RAIS WA ZANZIBAR AJUMUIKA NA WANANCHI WA ZANZIBAR KATIKA FUTARI GOLDEN TULIP ZANZIBAR


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa shukrani kwa waandalizi wa futari maalumu iliyoandaliwa na Alhajj Ahmad Al falasi kwa Wananchi wa Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar jana 20-3-2024. 

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Alhajj Ahmad Al falasi , alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kuhudhuria Futari iliyoandaliwa na Alhajj Alfalasi katika ukumbi wa hote hiyo jana 20-3-2024.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Zanzibar katika futari maalum iliyoandaliwa na Alhajj Ahmad Al falasi (kulia kwa Rais) iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar jana 20-3-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi.
(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad