HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 3, 2024

NAIBU MAWAZIRI MHE. UMMY NA MHE MWANAIDI, WAHANI FAMILIA YA WAZIRI MASAUNI.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga pamoja Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Khamis wamemtembelea na kumfariji Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamad Masauni kufuatia kifo cha Baba yake Mzee Masauni aliyefariki dunia tarehe 23 Februari, 2024 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam.

Wamemtembelea Machi 3, 2024 nyumbani kwake Migombani Mkoa wa Mjini Unguja Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad