HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 3, 2024

MATUKIO; KHITMA YA MZEE ALI HASSAN MWINYI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wajane, Ndugu na Jamaa wakati wa khitma ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki tarehe 29 Februari 2024. Khitma hiyo imeandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na kufanyika kwenye viwanja vya maonyesho Nyamazi mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisoma Juzuu wakati wa khitma ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki tarehe 29 Februari 2024. Khitma hiyo imeandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na kufanyika kwenye viwanja vya maonyesho Nyamazi mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa khitma ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki tarehe 29 Februari 2024. Khitma hiyo imeandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na kufanyika kwenye viwanja vya maonyesho Nyamazi mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.

Baadhi ya Viongozi na Wananchi wakiwa kwenye khitma ya ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki tarehe 29 Februari 2024, khitma hiyo imefanyika katika viwanja vya maonyesho Nyamazi mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad