HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, February 14, 2024

SHEREKEA VALENTINE KIBABE KWA KUPIGA MKWANJA NA MERIDIANBET KUPITIA LIGI YA MABINGWA ULAYA

LEO unaweza kusherekea sikukuu ya Valentine kibabe kabisa kupitia Meridianbet ukapiga mkwanja wa kutosha, Kwani usiku wa leo kutakua na michezo kadhaa ya ligi ya mabingwa ulaya ambayo imepewa ODDS KUBWA.

Mchezo mkali ambao utapigwa leo utakutanisha klabu ya Lazio ambayo itakua nyumbani kuwakaribisha miamba ya soka kutoka nchini Ujerumani klabu ya Fc Bayern Munich mchezo utakaopigwa katika dimba la Olympico nchini Italia.

Mchezo mwingine ambao utakwenda kupigwa leo ni kati ya klabu ya PSG mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Ufaransa ambapo watakua nyumbani katika dimba lao la Parc de Princes watawakaribisha klabu ya Real Sociedad kutoka nchini Hispania.

Klabu ya Bayern Munich imekua na msimu mzuri sana ndani ya ligi ya mabingwa ulaya msimu huu, Kwani kwenye hatua ya makundi hawajapoteza mchezo hata mmoha huku wakishinda michezo mitano na kusuluhu mchezo mmoja kati ya michezo sita ya makundi.

Klabu ya PSG vinara wa ligi kuu ya Ufaransa wao watakwenda kumenyana na moja ya vilabu venye takwimu nzuri zaidi kwenye ligi ya mabingwa ulaya msimu huu, Hivo mchezo huu unatarajiwa kua wenye ubora na ushindani mkubwa.

Rekodi ya klabu ya Real Sociedad sio ya kuichukulia poa kwani klabu hiyo kutoka nchini Hispania imekua na msimu bora katika ligi ya mabingwa ulaya, Ambapo mpaka sasa ndio wanashikilia rekodi ya timu iliyoruhusu magoli machache zaidi wameruhusu magoli mawili tu kwenye ligi ya mabingwa ulaya hivo PSG watarajia ushindani kutoka kwa klabu hiyo kutoka nchini Hispania.

Suka mkeka wako kwenye mechi hizi za UEFA, kwani ODDS KUBWA, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Klabu zote zimepewa ODDS KUBWA kwenye michezo ya leo kwajili ya kuhakikisha wewe mteja wa Meridianbet unajipigia maokoto ya kutosha leo sikukuu ya wapendao iende vizuri kwa upande wako.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad