HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, February 18, 2024

OKOTA MAOKOTO NA MERIDIANBET JUMAPILI YA LEO

 

SIKU nyingine ya kuokota maokoto yako na Meridianbet wewe mteja wao kwani leo itapigwa michezo kadhaa katika ligi mbalimbali barani ulaya, Hivo ni fursa ya kuweza kupiga mkwanja kwani michezo hiyo imepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet.

Michezo itapigwa katika ligi karibia zote kubwa ulaya kuanzia ligi kuu ya Uingereza, Italia, Ujerumani, Ufaransa, na nchini Hispania ambapo itajumuisha michezo mikali ambayo itaweza kuhakikishamteja wa Meridianbet anaimaliza wikiendi kibabe.

Kunako ligi kuu ya Uingereza ligi pendwa kabisa ulimwenguni kutakua na michezo miwili ambapo Manchester United watakua ugenini kumenyana na klabu ya Luton Town ambao wamekua na mwendelezo mzuri wa matokeo siku za hivi karibuni, Brighton Hove and Albion watakua ugenini pia kumenyana na Sheffield United michezo yote hii imepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet.

Ligi kuu ya Hispania
Ligi kuu ya Hispania itaendelea ambapo vinara wa ligi kuu nchini Hispania klabu ya Real Madrid leo watakua ugenini kumenyana na klabu ya Rayo Vallecano, Huku wakihitaji alama tatu ili kuendelea kujisimika kileleni mwa msimamo.

Mchezo mwingine utakaopigwa leo pale nchini Hispania utashuhudia klabu ya Real Betis ikiwa nyumbani kuikaribisha klabu ya Deportivo Alaves, Ambapo mchezo unatarajiwa kua mgumu kwa timu zote kutokana na muenendo wa vilabu hivo kwasasa.

Ligi kuu ya Italia
Ligi kuu ya italia pia leo itashuhudia michezo kadhaa ikipigwa ambapo klabu ya Lazio itakua nyumbani kumenyana na klabu ya Bologna, Ambapo Lazio wametoka kupata ushindi mbele ya Bayern Munich kwenye ligi ya mabingwa katikati ya wiki huku ikisubiriwa kama watafanya walichokifanya mbele ya Bayern Munich

Ac Milan wakiwa kwenye fomu nzuri kwasasa nao watakua dimbani kukipiga dhidi ya klabu ya Monza ambao watakua nyumbani, Mchezo huu hautakua mwepesi kwa Milan kwani Monza ni moja ya timu sumbufu kunako ligi kuu ya Italia Serie A.

Ligi Kuu Ujerumani
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Ujerumani klabu ya Bayern Munich baada ya kupokea kipigo wikiendi iliyomalizika kutoka kwa Bayern Leverkusen leo watakua na nafasi ya kujiuliza maswali mbele ya klabu ya Bochum katika mchezo wa Bundesliga ambapo klabu hiyo itakua ugenini.

Mchezo mwingine utakaopigwa leo pale nchini Ujerumani utaikutanisha klabu ya Freiburg ambayo inakamata nafasi ya nane kwenye msimamo watakipiga na na Eintracht Frankfurt wanaoshika nafasi ya sita kwenye msimamo, Hivo mchezo huu unaonekana kua mkali kwani timu zote zinaonekana zina uwiano sawa.

Suka mkeka wako kwenye mechi hizi za leo za ligi kubwa barani ulaya, kwani ODDS KUBWA, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad