HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 16, 2024

MKURUGENZI MKUU WA NSSF, AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Masha Mshomba, ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma,  tarehe 15 Februari, 2024.


Pamoja na mambo mengine, Bw. Mshomba alimpongeza Mhe. Dkt. Tulia kwa kuchaguliwa  kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).


 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad