HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 24, 2024

MERIDIANBET YARUDISHA KWA JAMII TENA

 

Kampuni ya Meridianbet wameendelea na utaratibu wao wa kuhakikisha jamii yake inanufaika na kile ambacho wamekipata, Leo hii ni eneo la Kijitonyoma jijini Dar-es-Salam ndio limenufaika na mabingwa hao wa michezo ya kubashiri.

Meridianbet wamefika Kijitonyama leo na kutoa vifaa vya usafi katika Zahanati inayopatikana katika eneo hilo, Ambapo wamegawa Ndoo ambazo zitakua zinatumika kuhifadhi takataka ndani ya Zahanati hiyo.

Mara nyingi Zahanati ndio sehemu zinazokua na uhitaji mkubwa sana wa vifaa vya usafi kwani ni rahisi magonjwa kuambukizwa katika eneo, Hii inatokana na eneo hilo kukaribisha wagonjwa wenye maradhi mbalimbali hivo ikiwa ni eneo ambalo usafi hauzingatiwa inaweza kugeuka kua sehemu hatari zaidi na ndio sababu ya Meridianbet kutoka kipaumbele katika sekta hiyo leo.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram amezungumza kwa niaba ya taasisi baada ya kutoa vifaa hivyo vya usafi”Kwanza kabisa sisi kama timu ya Meridianbet tumefurahi kufika hapa leo, Lakini kubwa zaidi lililotuleta hapa ni kutoa msaada wa vifaa vya usafi ambavyo vitasaidia kuimarisha usafi katika Zahanati hii”

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa wikiendi hii katika ligi mbalimbali barani ulaya, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Mbali na mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Masoko kutoka Meridianbet kuzungumza lakini pia Zahanati hiyo kutoka maeneo ya Kijitonyama ilikua na muwakilishi ambaye alipata fursa ya kuzungumza “Kwanza nipende kuwashukuru kampuni ya Meridianbet kwa kufika hapa kutoa msaada huu, Kwani mmeonesha moyo wa kujali kwa kiwnago kikubwa jambo ambalo ningependa makampuni mengine yaige mfano huu”

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad