HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 10, 2024

JOPO LA MERIDIANBET LATUA MITAA ZA MWENGE

 


LEO hii siku za Jumamosi Meridianbet wakiongozwa na Mhariri wa kampuni hiyo za ubashiri Tanzania walifika maeneno za Mwenge jijini Dar es salaam na kugawa Reflectors kwa boda boda wa eneno hilo.

Hii sio mara za kwanza kwa Meridianbet kugawa Reflectors kwa boda boda, Dereva bajaji na hata kwa wale wasimamizi wa maegesho za magari katika maeneo mbalimbali lakini safari hii wameamua kuwageukia bodaboda wa Mwenge kwani eneo hilo kubwa na limekua kwa kiasi kikubwa na wapo sana.

Reflectors hizo zitawasaidia kuwakinga na ajali hasa nyakati za usiku kwani mara nyingi ajali hutokea nyakati hizo kutokana na watu wengi kuwa na mwendo mkali na kutozingatia alama za barabarani, lakini pia hiyo itawasaidia wao kuonekana kwa urahisi wakiwa wamezivaa.

Meridianbeti magwiji wa ODDS KUBWA Tanzania hii ni mara ya wanakwambia hivi Jumamosi za leo ndio siku pekee za wewe kujipigia mkwanja wako kwa kubashiri mechi zako uzitakazo na kuchagua machaguo sahihi. Kule EPL, LALIGA, SERIE A, BUNDESLIGA, kitawaka hasa. Suka mkeka wako na uweke jamvi lako sasa.

Ikiwa ni mwendelezo wa zoezi hilo la Ugawaji wa vifaa hivyo kwa madereva na Wasimamizi wa Maegesho, Leo wamewafikia madereva hao katika eneo la Mwenge ikiwa eneo hilo ni eneo mojawapo kubwa katika usafirishaji jijini Dar es salaam.

Zoezi hilo lilianza asubuhi kabisa ambapo timu ya meridianbet walifurahia mapokezi ambayo waliyapata kwa wakazi wa Mwenge kwani ujio wao ulikuwa wa faida kwa dereva bodaboda na bajaji kwani Reflectors zina faida sana kwa watuamiaji wa vyombo vya barabarani.

Nancy Ingrama alisema kuwa, "Tunathamini sana Usalama wa Barabarani ndio maana tunagawa vifaa hivi kwa Madereva na Wasimamizi wa Maegesho ili kuweza kuhakikisha usalama wao hasa wakati wa majukumu yao ya kazi"

Baada za kupokea vifaa hivyo madereva hao waliishukuru sana Meridianbet kwa msaada huo na kuwaambia watu kuwa watumie meridianbet kufanya ubashiri kwani wao wameonyesha kuwajali wananchi ambao kwa namna moja hutumia kampuni hiyo kufanya ubashiri.

Vilevile meridianbet inakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rocketman, na Sloti kwa dau dogo tuu upige mkwanja wa maana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad