BAADA ya kushuhudia mechi mbalimbali wikendi hii zikipigwa, leo hii pia kuna timu zitakuwa viwanjani kusaka pointi 3 muhimu kuanzia kule Uingereza mpaka hapa Tanzania. Ingia sasa na ubashiri mechi hizo.
Tukianza na ligi ya Tanzania NBC, Simba atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Geita Gold ambaye alishinda mechi iliyopita huku Mnyama akitoa sare mechi iliyopita. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda Benchika na vijana wake kwa ODDS 1.33 kwa 7.05. Je nani kushinda mechi leo hii katika dimba la CCM Kirumba? Beti hapa.
Mechi nyingine yenye ODDS nzuri ni hii inayowakutanisha kati ya Kagera Sugar dhidi za Singida Fountain Gate katika dimba la Kaitaba. Mechi hiyo itapigwa majira ya saa 12:15 huku tofauti ya pointi kati yao ni 6. Walima Alizeti kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.35 kwa 3.04. Mara ya mwisho kukutana, mgeni alihsinda. Je leo hii Walima Miwa kushinda?. Jisajili na ubeti sasa.
Si mechi za kubeti tuu, bali kuna michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.
Majira za saa 2:15 KMC baada ya kukosa ushindi mechi 3 zilizopita leo hii atakuwa pale Azam Complex kukiwasha dhidi ya Coastal Union ya Tanga ambao wameshinda mechi zao 3 mfululizo. KMC kushinda amepewa ODDS 2.60 kwa 2.55. Mara ya mwisho kukutana, Wanakino Boys walishinda. Je Wagosi wa Kaya kulipa kisasi?.
Kule EPL sasa leo hii kuna mechi moja ambayo ni ya vijana wa Mauricio Pochettino Chelsea ambao watakua ugenini dhidi ya Crystal Palace katika dimba la Selhurst Park huku mechi za kwanza msimu huu walipokutana, The Blues walishinda. Mechi hii imepewa ODDS 1.71 kwa 4.60. Je Palace kulipa kisasi leo?. Beti na meridianbet.
LALIGA nayo kama kawaida kitaeleweka leo hii vibonde wa ligi hiyo, Almeria watakuwa wenyeji wa Athletic Club ambao wapo nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi hiyo. Mwenyeji ana pointi 6 tuu huku mgeni wake akiwa na pointi 45. Mechi hii ina machaguo zaidi za 1000 meridianbet. Suka jamvi lako hapa.
Vilevile kule Italia, SERIE A leo vijana wa Allegri Juventus wataziwasha dhidi ya Udinese Calcio katika dimba la Allianz majira ya saa 4:45 usiku. Mechi ya mwisho Juve aliondoka na pointi 3. Je leo hii kwa ODDS hii ya 1.42 kwa 8.03 ataweza kuendeleza ubabe wake?. Weka mkeka wako sasa.
No comments:
Post a Comment