HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 8, 2024

ANZA SAFARI YA USHINDI WA TSH 13,000,000/= NA AMIGO KUPITIA MERIDIANBET KASINO

 

NI MOJA kati ya sehemu ambayo ukiichagua haiwezi kukuangusha, Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kwa sababu kila kukicha imekuwa ni sehemu ya tumaini langu na lako, bonasi na ofa mbalimbali za promosheni vinakusubiri kila kukicha.

Mwezi huu wa wapenda nao unaweza kumfurahisha mwenza wako, mpenzi au mzazi wako hata rafiki yako kwa sapraizi kibao, haiwezekani kama hauna pesa lakini kama unatumia Meridianbet Kasino ya Mtandaoni inawezekana. Jiunge na Safari ya Ushindi ya Amigo, ya pekee kupitia Meridianbet Kasino! Tumeandaa mlima wa mapenzi, chukua sehemu yako ujivinjari na mpenzi wako.

Meridianbet inakuletea wiki ya maajabu na utajiri ambayo huwezi kujutia kuwa mwanafamilia. Kwa kushirikiana na mtoa huduma Amigo unaweza kujishindia mgao wa TSH 13,000,000/= na promosheni hii imeanza tangu Februari 7 hadi 15.

Nini unatakiwa kufanya ili upate maokoto haya.
Unachotakiwa kufanya ni kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni ifuatayo kutoka kwa mtoa huduma maarufu: Blazing Crown, Regal Fruits 100, Amigo Monkey, Joker's Joy, Frozen Crown. Chagua mmoja wapo kati ya hii, cheza kisha utaibuka mshindi na kujiweka kwenye mgao wa mamilioni haya kutoka Meridianbet Kasino ya Mtandaoni.

Kila unapozungusha, unapata alama moja, ambayo inakuletea maendeleo katika orodha ya wachezaji bora walio katika nafasi za juu. Zawadi ya jumla ya Tsh 13,000,000/= itagawanywa kwa washindi 45.

Bingwa namba moja wa shindano hili la Amigo atazawadiwa kitita cha minoti kiasi cha 2,740,926/= TZS.

Ikiwa huna akaunti ya Meridianbet, bado haujachelewa JISAJILI kirahisi kupitia simu janja yako, au kwa watu wetu wa promosheni wanaopatikani mtaani kwako BURE kabisa.

JISAJILI SASA, na baada ya KUJISAJILI, utapewa zigo la zawadi lenye thamani ya TZS 25,000 katika akaunti yako ambayo unaweza kuitumia kucheza Kasino ya Mtandaoni na michezo ya Sloti.

NB: Meridianbet ukijisajili tu unapata bonasi kibao za kasino mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad