HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 22, 2024

ALHAMISI YA LEO PIGA PESA NA MECHI ZA EUROPA

 

LEO hii ni siku ya EUROPA LEAGUE hatua ya 16 bora ambapo kutakuwa na mechi kibao zenye ODDS KUBWA pale meridianbet, na hizi ni mechi za mkondo wa pili. Je nani kukupatia mkwanja leo?

AS Roma kutoka kule Italia atakuwa mwenyeji wa Feyenoord ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 3.47 kwa 2.08 pale meridianbet. Mechi hiyo itapigwa katika dimba la Stadio Olimpico, Rome huku mara ya mwisho kukutana walitoa sare. Je leo hii nani kuondoka na pointi 3 na kufuzu hatua ya robo fainali?. Suka mkeka wako hapa.

Nao Galatasaray Instanbul baada ya kushinda mchezo uliopita wakiwa nyumbani, leo hii atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Sparta Prague kwenye mechi ya pili ya mtoano huku ushindi akipewa mgeni kwa ODDS 2.50 kwa 2.55 Je nani kushinda mechi hii leo. Jisajili ubeti sasa.

Vile vile Meridianbet wanakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Utamu mwingine wa mechi hizi utakuwa kule kwenye hii mechi ambayo inawakutanisha Olympique Marseille FC dhidi ya Shakhtar Donetsk kutoka kule Ukrain. Wawili hawa walipokutana mara ya mwisho walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuondoka na alama zote na kusonga mbele?. Mechi hii imepewa ODDS 1.68 kwa4.80. Tengeneza jamvi lako sasa.

Mechi ya pesa pia ni hii ya Sporting Lisbon ya Ureno ambao walitoa kichapo dhidi ya Young Boys Bern kutoka kule Uswizi mechi yao za mkondo wa kwanza. Na meridianbet wamempa mwenyeji nafasi kubwa za kushinda mchezo huu tena kwa ODDS 1.32 kwa 7.84. Wewe beti yako unaiweka wapi leo?

Kule Ufaransa pia kutakuwa na mechi nyingine ya mgeni Benfica Lisbon ambao ndio vinara wa ligi ya ureno ambao wataalikwa na Toulouse FC. Mechi za kwanza Benfica walishinda. Mechi hii imepewa ODDS3.72 kwa 1.93. Unasubiri nini sasa uka jamvi lako na ujumuishe mechi hii.

Nao vijana wa Stephano Pioli AC Milan baada za kutoa kichapo cha maana mechi yao iliyopita wakiwa nyumbani, leo hii watakuwa ugenini kujihakikishia nafasi za robo fainali dhidi ya Stade Rennes ya Ufaransa. Meridianbet wamempa Milan nafasi ya kushinda kwa ODDS 2.55 kwa 2.65. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet bashiri sasa.

SC Freiburg watakuwa wenyeji wa RC Lens hii leo baada za kutoka sare za bila kufungana mchezo wao wa kwanza, hivyo leo hii kila timu inazitaka pointi hizi. Mwenyeji kushinda ana ODDS 2.40 kwa 2.99. Je nani ataondoka na ushindi hii leo?. Tengeneza mkeka wako haraka na meridianbet.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad