Kijana Noel Tesha, anayejishughulisha na ufundi wa magari
mjini Singida, akiwa ameshikilia mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. 500,000/=,
baada ya kushinda shindano la Maokoto kupitia kinywaji cha bia ya Serengeti.
Mshindi wa promosheni ya maokoto ndani ya kizibo mzunguko wa 11 Zainab Mafuru, akifurahi baada ya kupokea mfano wa hundi kutoka kwa Afisa Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Limited wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza Desdelius Method, kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika Makumbusho Pub igoma jijini Mwanza.
Mshindi
wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Mapinga, Bagamoyo
Mkoa wa Pwani Ashura Hamis, akiwa ameshikilia mfano wa hundi ya shilingi Laki
tano mara baada ya kukabidhiwa na Mwakilishi wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries
Limited (SBL) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya
Empire Sports Januari 06, 2024.
Pichani ni Aisha Mohamed (kulia ) akipokea hundi ya Tsh 500,000/= kutoka kwa Oscar Oscar mwakilishi wa SBL (kushoto) Aisha amejishindia fedha hiyo kutokana na kampeni inayoendeshwa na kampuni hiyo ijulukanayo maokoto ndani ya kizibo katika halfa ho iliyofanyika Big Brother Newala, Mtwara tarehe 06 januari 2024.
Mwakilishi wa mauzo kutoka kampuni ya bia ya Serengeti SBL, Moshi Mjini Christian Kakunguru (kulia) akimkabidhi Mshindi wa shindano la maokoto kutoka Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro Mwijuma Khalfan hundi mfano ya tsh 500,000 baada ya kuibuka mshindi kwenye shindani hilo kwenye hafla iliyofanyika bar ya RedStone iliyopo Mjini Moshi.
No comments:
Post a Comment