HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 18, 2024

PIGA MAOKOTO NA MECHI ZA LEO HAPA MERIDIANBET

 


HABARI mpendwa wa Meridianbet kama kawaida mechi za AFCON zinendelea hii leo ambapo timu zinapambania kupata ushindi wavuke hatua inayofuata, hivyo na wewe pambana upate maokoto yako mapema kwa kubashiri na meridianbet.

Ikiwa leo hii ni siku nyingine mpya ya Alhamis mechi za AFCON zinaendelea ambapo Equatoria Guinea atakiwasha dhidi ya Guinea Bissau ambaye alipoteza mchezo uliopita. Na leo hii amepewa ODDS 3.23 kwa 2.50 kushinda mechi hii mbele ya Equatoria ambaye alishinda mchezo uliopita. Je leo hii nani ataondoka na ushindi?. Beti mechi hii sasa.

Ifikapo saa 2:00 usiku mechi ya kukata na shoka itakuwa ni kati ya mwenyeji wa michuano hii Ivory Coast dhidi ya Nigeria ambao walipata sare mchezo wao uliopita. Ivory alipata ushindi mchezo uliopita na leo Meridianbet wamempa 2.12 kushinda mechi hii kwa 3.57. Je Victor Osimhen anaweza kuibeba timu yake kupata alama 3?. Suka jamvi lako sasa.

Pia meridianbet inakukumbusha kuwa kuna uwezekano wa kupiga pesa haraka sana ukicheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Aviator, Poker, Roullette, Rocketman, na Sloti na mingine mingi. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Usiku wa saa 5:00 Egypt itapambana na Ghana kuwania pointi tatu ambazo timu zote hazijazipata kwenye mechi zao za kwanza. Salah na wenzake waliambulia sare huku Andre Ayew na wenzake walipoteza. Mechi hii imepewa ODDS 1.96 kwa Misri kushinda na 4.21 kwa Mghana kushinda. Wewe beti yako unaiweka wapi kati ya timu hizi mbili?.

Lakini tukiachana na AFCON mteja wa Meridianbet kumbuka kubashiri pia mechi za COPA DEL REY nchini Hispania ambazo zinaendelea hii leo kwa mechi mbili pekee katika hatua ya 16.

Mchezo wa kwanza utakuwa ni kati ya Unionistas de Salamanca FC dhidi ya FC Barcelona ambayo ndio wanapewa nafasi ya kushinda na meridianbet wakiwa na ODDS ya 1.13 kwa 16.66. Timu hiyo inashiriki ligi daraja la pili. Je inaweza kuwafunga Xavi na vijana wake leo. Jisajili na ubeti.

Wakati mechi ya kuvuja jasho itakuwa ni kati ya Atletico Madrid dhidi ya Real Madrid majira ya saa 5:00 usiku ambapo timu hizi zimekutana siku chache zilizopita kwenye michuano ya Super Cup ambapo Atletico alipoteza baada ya muda wa ziada. Ancelotti na vijana wake kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.32 huku Diego Simeone na vijana wake wamepewa 2.84. Je nani ataondoka na ushindi leo?. Tengeneza jamvi hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad