HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 31, 2024

MERIDIANBET WATOA MSAADA WA VYAKULA KWA FAMILIA ZENYE HALI NGUMU


SAFARI ya kuelekea maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam kuzishika mkono familia zenye hali ngumu ya kimaisha, ilianzia makao makuu ya kampuni namba moja kwa michezo ya ubashiri Tanzania Meridianbet yenye huduma za kasino ya mtandaoni.

Ni Wilaya ya Kigamboni ndipo kilikuwa kituo cha mwisho, na hapa Meridianbet walikutana na Mama mtu mzima mwenye changamoto ya kutoona, hali hiyo anasema kwamba alizaliwa nayo na mpaka sasa anaishi katika mazinira magumu haswa hali ya upatikanaji wa mahitaji muhimu ikiwemo chakula ni mbaya.

“Nilizaliwa hivi nikiwa sioni hali hii imenipa changamoto sana katika masuala ya kutafuta riziki, kwani licha ya kuwa hivi bado nasumbuliwa na tatizo kubwa la afya”- Mama Akram

Mama huyu alifurahishwa sana na ujio wa Meridianbet na kushukuru kwa msaada huo wa vyakula na mahitaji mengine ya nyumbani.

“Nawashukuru sana Meridianbet kwa msaada wenu mkubwa mlionipatia, hakika mimi sina cha kuwalipa lakini Mungu ndiye atawalipa Zaidi ya hiki. Familia yangu imefurahia sana msaada wenu”-Mama Akram.

Kwa upande wa muwakilishi wa Meridianbet Nancy Ingram alisema kwamba Meridianbet itaendelea kuishi na utamuduni wao wa kurudisha kwa jamii kile kidogo wanachokipata, na hivyo mwaka huu 2024 ni mwaka wa mafanikio kwa kila mtu, anayebashiri na Meridianbet au kuchezo sloti na michezo ya kasino mtandaoni, hata wale.

“Huu ni mwaka wa mafanikio na furaha kwa kila mtu, tutamshika mkono haijalishi ana hali gani, kikubwa tunawaomba watu wengi kuendelea kubashiri na Meridianbet kwani mchango wao pia unasaidia jamii haswa watu wenye uhitaji kama ambapo leo tulivyotembelea na kujumuika pamoja na Mama Akram”-Nancy Ingram.

Meridianbet ni kampuni inayojihusisha na michezo ya kubashiri kwa zaidi ya miaka 10 sasa hapa Tanzania, mbali na michezo ya kubashiri na odds kubwa pia wanakupa michezo ya kasino mtandaoni kama vile Aviator, Poker, Roulette ambayo ni rahisi kucheza na kushinda.

JIANDAE KWA MASAPRAIZ KIBAO YA MWEZI WA WAPENDANAO, MIBONASI KIBAO NA MKWANJA KILA WAKATI.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad