HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 6, 2024

JUMAMOSI HII MBUNGI LA MICHUANO YA FA

 KIPUTE cha michuano ya kombe la FA itaendelea leo jumamosi ambapo michezo kadhaa itapigwa katika viwanja mbalimbali, Huku ikiw ani nafasi pia ya kuweza kutengeneza mkwanja kupitia michezo hiyo.

Meridianbet watarahahisha suala la wewe kupiga mkwanja kwani kupitia michezo ya leo mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wameweka Odds kubwa na za kibabe, Hivo unaweza kujipigia mkwanja katika michezo hiyo kiulaini kabisa.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Klabu ya Chelsea leo watashuka dimbani kukipiga dhidi ya klabu ya Preston North End katika mchezo wa raundi ya tatu wa michuano ya kombe la FA, Huku matajiri hao kutoka jijini London wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani.

Mchezo mwingine mkali utakua kati ya klabu ya Stoke City ambao watakua nyumbani katika dimba lao la Britania kuwakaribisha vijana wa kocha Roberto De Zerbi klabu ya Brighton Hove and Albion mchezo unaotarajiwa kua mkali.

Pale katika dimba la St. Marrys klabu ya Southampton itakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Walsall, Southampton wanaonekana kupewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu lakini Walsall wanaweza kuwashangaza wengi.

Vinara wa ligi daraja la kwanza nchini Uingereza klabu ya Leicester City leo watakua ugenini kukipiga na Milwall katika mchezo wa raundi ya tatu wa kombe la FA, Mchezo huu unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa kutokana na fomu ya timu zote mbili.

Aston Vila watakua ugenini wakikipiga na wenyeji wao Middlesbrough katika mchezo wa wa raundi ya tatu wa michuano ya kombe la FA, Huku vijana wa Unai Emery licha ya ku ugenini wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushinda licha ya kua ugenini.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia na uweke mkeka wako.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad