Leo itapigwa mbungi ya kibabe sana pale nchini Saudia Arabia ambapo kutakua na mchezo wa derby ya jiji la Madrid, Ni Real Madrid ambao wamepewa nafasi ya kua nyumbani kuwakaribisha Atletico Madrid katika mchezo wa nusu fainali wa kombe la Spanish Super Cup.
Mchezo huu ukali wake hautaishia ndani ya uwanja tu lakini utaendelea mpaka nje ya uwanja ambapo utatoa fursa ya watu kushinda mkwanja, Kwani mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wamemwaga odds katika mchezo huu.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
Mchezo huu wa Madrid Derby utakua ni mchezo wa pili kukutanisha vilabu hivyo msimu huu baada ya kukutana kwenye mchezo wa ligi kuu ya Hispania na klabu ya Real Madrid ilipoteza mchezo huo kwa mabao matatu kwa moja.
Mchezo wa leo utafanikiwa kutoa mwanafainali wa Spanish Super Cup kwa mwaka 2024, Kwani leo nusu fainali ya kwanza na nusu fainali ya pili itapigwa kesho kati ya klabu ya Osasuna dhidi ya mabingwa watetezi klabu ya Fc Barcelona.
Mchezo huu licha ya kua nusu fainali lakini pia ikumbukwe ni wa mahasimu wakubwa kutoka jiji la Madrid na mchezo huu mara nyingi hua unakua wenye ushindani mkubwa kwelikweli kutokana na uhasimu uliopo baina ya vilabu hivi viwili.
Real Madrid na Atletico Madrid unaweza kua mchezo wa kisasi leo kwani Real Madrid wataingia katika mchezo huu wakifikria kulipiza kisasi baada ya kupoteza katika mchezo wa ligi kuu msimu huu, Ateletico nao hawatakua wanyonge kwani wamekua moja ya klabu bora msimu huu.
Mchezo huu umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet kwa timu zote mbili ambapo wewe mteja wa Meridianbet unaweza kuweka mkeka wako na kupiga mkwanja wa kutosha kupitia mchezo huu.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee
ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia na uweke mkeka wako.
No comments:
Post a Comment