HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 12, 2024

HAALAND KIBOKO YA MABISHOO

 UKIZUNGUMZIA washambuliaji hatari duniani kwasasa basi jina la mshambuliaji Earling Haaland kwenye orodha linakaa namba moja kabisa, Kwani umahiri wa mshambuliaji huyo hauna shaka hata kidogo


Tangu mchezaji huyo apate nafasi kwa mara ya kwanza kwenye mashindano rasmi amekua akifanya vitu vikubwa, Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Norway amekua mshambuliaji kwenye ubora mkubwa hivi karibuni.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako. utakua ni mchezo wa pili kukutanisha vilabu hivyo msimu huu baada ya kukutana

Earling Haaland kwa misimu takribani mitatu sasa amekua akivunja rekodi kila siku licha ya umri wake kua mdogo, Lakini haijamzuia kuvunja na kuweka rekodi za upachikaji wa mabao kuanzia nchini Austria, Ujerumani na sasa nchini Uingereza.

Mshambuliaji huyo msimu uliomalizika alifanikiwa kua na msimu bora zaidi na kuvunja rekodi mbalimbali za ufungaji mabao, Kwani alifanikiwa kua mfungaji bora wa ligi kuu ya Uingereza kwa kufunga mabao 36 ikiwa ni rekodi ambayo haijawahi kuwekwa na yeyote hapo kabla lakini akifanikiwa kua mfungaji bora wa michuano ya ligi ya mabingwa ulaya.

Msemo wa Haaland kua ni kiboko ya mabishoo haijaja kwa bahati mbaya bali ni uhalisia, Kwani ubora wa kuweka mpira wa wavuni wa mshambuliaji huyo haulinganishwi na mshambuliaji yeyote duniani kwasasa na hii ndio inaendelea kumuweka juu mshambuliaji huyo na kumtofautisha na washambuliaji wengine.

Katika zama ambazo washambuliaji wenye ubora wamekua adimu lakini Manchester City wamepata bahati ya kua na mshambuliaji kariba ya Earling Haaland, Licha ya kusumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara msimu lakini bado mpaka sasa raia huyo wa kimataifa wa Norway anaongoza kwa mabao kunako ligi kuu ya Uingereza.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia na uweke mkeka wako.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad