KAMPUNI Bingwa kabisa kwenye michezo ya kubashiri Meridianbet inakuambia kurejea kwa ligi mbalimbali wikiendi hii kumekuja na neema kwani mzigo upo wa kutosha kwa wateja wao wanaobashiri na mabingwa hao.
Mzigo upo wa kustosha na utafanikiwa kuupata kama utachagua timu zako Jumamosi ya leo na kuweka mkwanja, Kwani michezo ya leo imepewa ODDS KUBWA na za kutosha hivo kujipigia mkwanja ni jambo lililo wazi kabisa kupitia Meridianbet.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
EPL
Kunako ligi kuu ya Uingereza Jumamosi hii kutakua na mchezo mkali kati ya klabu ya Manchester City ambao watakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya Crystal Palace, Fulham ambao wametoka kutoa kipigo kizito mbele ya Westham United watakua ugenini kukipiga na klabu ya Newcastle United, Chelsea baada ya kupoteza dhidi ya Everton watakwenda kumenyana na Sheffield United katika dimba la Stamford Bridge.
LA LIGA
Kunako ligi kuu ya Hispania nako itapigwa michezo mikali Jumamosi hii ambayo itamuwezesha mteja wa Meridianbet kupiga mikwanja ya kutosha mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Hispania klabu ya Barcelona baada ya kuambulia kichapo mbele ya Girona wikiendi iliyomalizika watakua ugenini kukipiga na klabu ya Valencia, Atletico Madrid wakiwa kwenye kiwango bora kabisa watakipiga dhidi ya Athletic Club, Sevilla wao watakua nyumbani kucheza na klabu ya Getafe.
SERIE A
Ligi kuu nchini Italia nayo itaendelea wikiendi hii na siku ya Jumamosi itapigwa micgezo kadhaa ambayo itakwenda kuwawezesha watu kupiga mikwanja ya kutosha ambapo pale katika dimba la Diego Armando Maradona utakwenda kupigwa mchezo mkali kati ya Napoli dhidi Cagliari, Mchezo mwingine mkali utakua kati ya Torino na Empoli, Mchezo mwingine wa kibabe utakua kati ya Lecce ambao watakua nyumbani kuwakaribisha kllabu ya Frosinone.
BUNDESLIGA
Kunako ligi kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga Jumamosi hii pia itapigwa michezo kadhaa ya kuwezesha watu kupiga maokoto ya kutosha kwani michezo hiyo imepewa ODDS KUBWA na za kibabe ambapo Augsburg watakua nyumbani kukipiga na Borussia Dormund ambao wametoka kusuluhu na vinara wa ligi hiyo wikiendi iliyopita, Rb Leipzig watakua nyumbani kukipiga na klabu ya Hoffenheim, Mchezo mwingine mkali utakua kati ya klabu ya Bochum ambao watakua nyumbani kukipiga na klabu ya Union Berlin.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
No comments:
Post a Comment