KLABU ya Simba leo inaingia uwanjani kukipiga na timu ya Wydad Cassablanca kwenye mchezo wa hatua ya makundi ambapo Simba anakuwa nyumbani huku akihitaji ushindi ili aweze kufufua matumaini ya kufuzu robo fainali kwenye michuano hiyo ya Klabu Bingwa Afrika.
Simba Sc ni mchezo wake wa nne ambapo katika michezo mitatu iliyopita hajashinda hata mechi moja hivyo akitoka sare mbili na kufungwa mechi moja na kufanya kundi lao kushika mkia.
Tuesday, December 19, 2023
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment