KAMPUNI bingwa kabisa ya michezo ya kubashiri Meridianbet hatimae imeibukia kwa madereva Bajaji wa maeneo mbalimbali ndani ya jiji la Dar-es-salaam ambapo wamefanikiwa kutoa msaada wa maturubai ambayo yatarahisisha madereva hao kufanya shughuli zao za kila siku.
Kutoa msaada kwa Meridianbet ni jambo moja lakini mara nyingi wanajitahidi kutoa msaada kwa wale wenye uhitaji wa msaada huo, Ndivyo ambavyo imetokea kampuni hiyo imefanya kwani madereva Bajaji hao walikua na uhitaji wa maturabai na Meridianbet wakawasaidia kupata vifaa hivyo.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
Lengo kubwa la Meridianbet kutoa msaada wa maturubai kwa madereva Bajaji ni kuhakikisha wanafanya kazi yao vizuri, Kwani maturubai hayo yatawasaidia kuwakinga na mvua pamoja na jua katika shughuli zao za kila siku.
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram ambaye ndio aliongoza zoezi hilo alisema “ Tunayo furaha kubwa kufika hapa na kutoa msaada wa maturubai kwenu kwani tunaaamini vifaa hivi vitakwenda kuwasaidia katika kutimiza majukumu yenu ya kila siku”
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee
ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
Mbali na mkuu wa kitengo na mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet kuzungumza na madereva Bajaji juu ya msaada walioutoa, Lakini moja ya madereva aliweza kueleza furaha yake juu ya msaada walioupata kwa kusema “Tunashukuru sana uongozi wa Meridianbet kwa kufika hapa na kutupatia vifaa hivi kwani maturubai haya yatatusaidia kutukinga na mvua na jua katika shughuli zetu za kila siku”
No comments:
Post a Comment